Manchester United (Red Devils) | Special Thread

πŸš¨πŸ—£οΈ Erik ten Hag:

β€œHow a team plays is very subjective, so there's only one thing in football - and that's about the end of the season and if you win prizes and trophies or not.”

Huyu ni kocha aliye muomdoa degea kisa hawezi kupiga pasi ili kuanzisha mashambulizi nyuma. Anataka kutuaminisha kwamba sisi ni level ya kuridhika na carabao na FA? to hell with him.

Akapendekeza maguire auzwe kisa maamuzi mazito ya pasi na poor marking.

Kapewa kipa anayemtaka, kaletewa beki anazotaka, bado anaongea huo utumbo, then anasema eti "i am happy with maguire and its a good thing that he has regained his position in England squad"

This MF, asipocheza mpira wa kueleweka mechi ya leo vs Liverpool, I am πŸ’―kipara out.

Binafsi tuliposhindwa kumshawishi tuchel niliona giza kubwa msimu huu.

Nawasilisha.
 
ukiondoa shida zoteeee za United mashabiki pia shida ipo
 
Leo ni Leo asie na mwana abebe jiwe.

Watoto wa bwenyenye Sir Jim barobaro wanashuka leo kwenda kumfunza adabu mzee kipara.

Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁 😁
weweeeeeh

My prediction
Manchester United 2 vs Watoto wa mzee kipara Big head 1

⌚12:00 jioni
🏟️Old Trafford

Watapigwa sana wale vijana wa mzee kipara Big head.
 
Sitachoka kusema tena na tena kwamba Mainoo sio wa kikosi wa cha kwanza
 
Bila beki kisiki Maguire kuanza tunatoka vichwa chini tena na leo
 
Binafsi naona timu sasa inaenda kukamilika hapa anatakiwa Sancho asepe na Rashford tupate watu wa maana kule mbele.
Manchester yakubadilika huwa mnanishangaza sana mashabiki ylwa man uπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜„πŸ₯²
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…