Kwenye return leg itakuwa hivi Bayern Out, Barca Out
Semi Final Man Utd against Atletico Madrid
All the way to the final against PSG
Hapo ninajua unajua matokeo yatakuwaje
Hehehehe Rubaman nimeamini huwapendi United, Munich Boring Kama United wangepasua kati vizuri wangefungwa Lahm si wakucheza kati Yule ni kulia anapanda then Javier Martinez ndio angekaa kati, Welbeck ndio alipoteza nafasi alifikiria kipa ni Taibi na yeye ni Naymar, Dondonald Leo utabiri bado nusu nipatie United kufunga kwa Kona Sema hawajashinda Kama Munich watakuwa magoli wanataka kufunga mpaka ndani ya 2yard wasahau kufumfunga United Rooney alikuwa Middle sana. Belo chakula kitapita sasa Nzi yeye hata uchafu anakula? hongera United mmejitahidi au mumewaweza Munich.What??? labda cloned RVP. Huyu refa wa Spain lazima atakuwa Real Madrid fan au Barcelona fan mwenye machungu na Pep. Kwa nini hakumpa Valencia second Yellow kwa just reaction ya kindava-ndava? Anyway, bado mna nafasi lakini kazi ni nzito.
Huyo Fellaini anafanya nini uwanjani?
. hehehehe sawa Sheikh Yahya amekuwachia kazi naona watu Wana save maandishi hehehehe. Usije ukatizama Final unashangilia PSG au Atletico tu.Kwenye return leg itakuwa hivi Bayern Out, Barca Out
Semi Final Man Utd against Atletico Madrid
All the way to the final against PSG
Hapo ninajua unajua matokeo yatakuwaje
What??? labda cloned RVP. Huyu refa wa Spain lazima atakuwa Real Madrid fan au Barcelona fan mwenye machungu na Pep. Kwa nini hakumpa Valencia second Yellow kwa just reaction ya kindava-ndava? Anyway, bado mna nafasi lakini kazi ni nzito.
v2 kma vya welbeck ndo huwa vinanifanya niamini kuwa messi ni mchezaj bora wa dunia wa wakat wote....lile goli la wazi kabisa
Hehehehe Rubaman nimeamini huwapendi United, Munich Boring Kama United wangepasua kati vizuri wangefungwa Lahm si wakucheza kati Yule ni kulia anapanda then Javier Martinez ndio angekaa kati, Welbeck ndio alipoteza nafasi alifikiria kipa ni Taibi na yeye ni Naymar, Dondonald Leo utabiri bado nusu nipatie United kufunga kwa Kona Sema hawajashinda Kama Munich watakuwa magoli wanataka kufunga mpaka ndani ya 2yard wasahau kufumfunga United Rooney alikuwa Middle sana. Belo chakula kitapita sasa Nzi yeye hata uchafu anakula? hongera United mmejitahidi au mumewaweza Munich.
sijapata ona timu mbovu kama hii 80% ya mpira wote umechezewa eneo la penalt la man u. wanashindwa kufunga hata goli moja? sijui arsenal alitolewaje kirahisi na hawa wabovu hivi.
. hehehehe sawa Sheikh Yahya amekuwachia kazi naona watu Wana save maandishi hehehehe. Usije ukatizama Final unashangilia PSG au Atletico tu.
. Hehehehe siku hizi Bet hawanioni tena wamekuwa sana pesa zangu ila ukitaka week hii pesa nzuri Arsenal,Man United na Swansea zote Away weka pesa ya juu utapata pesa yako. Ukikosa usinilaumu hehehehe.Ha Ha Ha Mzee wa kubet williamhill kakulia mkwanja wako
Mpira wao wa gonga/kupasiana huwaga hautusumbui [wawaulize Arsenal], Chicharito lazima atakuwa Man of the match kwenye mechi ya marudiano.
Refa na Welbeck wamesababisha tusitoke na ushindi leo.
.....hehhehh,
Kaka mbona unaanza kejeli tena ilhali ndio kwanza upo kati ya mto?
It' was only a tactical game, Bayern walikuja kwa Draw au ushindi...
Huko kwao itakuwa One Way traffic... Na msiombee mpate Refa mbaya...
#Nilikuwepo !
#MosKwito !
......#Chicharito anaweza wabeba leo, dogo aminia sana kwenye finishing...
Mngetuuzia huyu jamani
Mwe!
#MosKwito !