Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Zirkzee siyo Winga wa kushoto ni CF
 
🚨🚨| Harry Amass successfully completed ALL his dribbles (4) and won ALL his duels on the ground (5) today.

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃🇳🇱⚙️
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨🏟️
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏🏁
#𝙂𝙂𝙈𝙐💪😎

man utd |
 
Kusajili wachezaji pomoni ni jambo moja, timu kupata matokeo ni jambo lingine.
 

Attachments

  • JamiiForums-176138174.jpeg
    54 KB · Views: 18
Jumamosi na Jumapili ni vigumu sana kukutana na habari za usajili kwa nchi za kimagharibi.

Nimelichunguza hili swala kwa takribani miaka mitano au zaidi.

Ina maana hata vilabu vya soka huko Ulaya huwa havifanyi kazi kwa weekend?

No tetesi,
No football.

Bored kinoma noma.
 
Kwa nchi nyingi zilizoendelea wanazingatia sana ratiba. Ikiwa mapumziko wanamaanisha mapumziko. Na siku ya kazi kweli ni siku ya kazi.
 
Achana na foden kuwa juu ya Saka
Kuna mchezaji kutokea unyumbuni hapa? Sasa mkae kwa kutulia mkiwa mnashughulikiwa ipasavyo ligi ikianza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…