Unaambiwa sasa hivi hufuatwi na mtu mmoja kushawishiwa, mfano Deal la LenY Dogo alitaftwa na Team kuwa informed anahitajika, hajakaa vizuri mala πππ¬π¨π§ ππ’π₯ππ¨π± kamtokea mazima wakachonga kwa upana, kabla maneno ya ππ’π₯ππ¨π± haJamuisha kichwa wakala wetu wa kujitegemea Rio π
ππ«ππ’π§ππ§π kamtwangia Dogo simu Tena video call wambuzi dogo asipate chance ya kujitetea sana kwanini hataki kutua Jumba la tofari choma na hajawahi ishi nyumba ya tofari choma, ile dogo anakata tu simu Omar πππ«π«πππ kampigia anamwambia Dogo kesho Twende Fancy Restaurant ukapige diko najua unanjaa ya mafanikio ukishashiba nikupereke nchi ya ahadi Dogo anakataaje sasa π.