Manchester United (Red Devils) | Special Thread

๐Š๐ž๐ฏ๐ข๐ง ๐ƒ๐ž ๐๐ซ๐ฎ๐ฒ๐ง๐ž talking about ๐๐ซ๐ฎ๐ง๐จ ๐…๐ž๐ซ๐ง๐š๐ง๐๐ž๐ฌ [emoji1666]

#๐™๐™ง๐™ช๐™จ๐™ฉ๐™๐™๐™š๐™‹๐™ง๐™ค๐™˜๐™š๐™จ๐™จ๐™€๐™๐™ƒ[emoji1179][emoji3541]
#๐™๐™ฃ๐™ž๐™ฉ๐™š๐™™๐™›๐™ค๐™ง๐™ฉ๐™๐™š๐™๐™–๐™ฃ๐™จ[emoji2522]
#๐™‚๐™ก๐™–๐™ฏ๐™š๐™ง๐™Š๐™๐™[emoji469]
#๐™‚๐™‚๐™ˆ๐™[emoji123][emoji41]

man utd |
 
Aaah kumbe mmeleta ushindani tu sawa sawa hata Liverpool alileta ushindani.
 
Kwakuwa hawapo tayari kumrudisha Greenwood, wafanye haraka hii, siyo kufiria tu.

"Manchester United are considering a swap deal involving 22-year-old England striker Mason Greenwood and Atletico Madrid's 24-year-old Portugal forward Joao Felix"
 
Bado hamjajibu tu

UEFA imewapa Manchester United hadi Jumatatu kutafuta suluhu kuhusu ushiriki wao wa Ligi ya EUROPA msimu ujao.

Muda huu umewekwa kutokana na mgongano wa kimaslahi unaotokana na ukweli kwamba mmiliki mwenza wa United, Sir Jam Ratcliffe, pia anamiliki klabu ya Nice, ambayo imefuzu kwa mashindano hayo.

Kulingana na kanuni za UEFA, chombo kimoja hakiwezi kuwa na ushawishi mkubwa kwa vilabu viwili au zaidi vinavyoshiriki katika ligi moja.

Ikizingatiwa kuwa Nice walimaliza ligi wakiwa juu zaidi kuliko United, Mashetani Wekundu wanaweza kuhitajika kushuka hadi Ligi ya Conference ya Europa isipokuja na azimio la kutoa suluhisho.

 

Hata mfanyaje conference aikwepeki.
 
Toby Craig, formerly of Chelsea and Manchester City, will become #mufcโ€™s new chief communications officer.
Craig, who worked with incoming CEO Omar Berrada at City, will replace the outgoing Ellie Norman.

Craig will report to Berrada, when he joins #mufc on July 13 but will start his role on Wednesday. [
@MikeKeegan_DM
]
 
Kwa hiyo tutegemee baada ya miaka mingapi mutakua mabingwa UCL?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ