Sababu za kumfukuza Ten Hag ni zipi ? Au ni Yale Yale ya Bayern na Julian Nangelsman?Wanaweza kufanya makosa kama yale ya wakati uleeee wa Van Gaal
Got to put blame on somebody, hatakama hamna. Welcome to politics matajiriSababu za kumfukuza Ten Hag ni zipi ? Au ni Yale Yale ya Bayern na Julian Nangelsman?
Watakuwa wamemuonea sanaGot to put blame on somebody, hatakama hamna. Welcome to politics matajiri
Hawa matajiri ni pesa tu ila akili zao zinavyofanya kazi kuna walakini 😄Hii Club viongozi wake watakuwa wanavuta bangi si bure
Sababu za kumfukuza Ten Hag ni zipi ? Au ni Yale Yale ya Bayern na Julian Nangelsman?
Ten Hag kwa namna alivyopambana hastahili kufukuzwa timu ilikuwa na hali mbaya sana.inasemekana Sir Jim Ratcliffe's ni miongoni mwa followers wa Masingeli
Wanavuta bangi hawaHawa matajiri ni pesa tu ila akili zao zinavyofanya kazi kuna walakini
Watakuwa wajinga mno yaani kocha achukue makombe mawili ndani ya misimu miwili halafu wamtimue, kocha toka aje anasumbuliwa na majeruhi ya key players ila bado kaibua vijana wadogo wazuri wanaotarajia kufanya timu kuwa tishio huko mbeleni. Wakimtimua huyu kocha tajua timu yetu kweli ina mashetani ambayo hayataki mafanikio yetu na huenda mule ndani ya uongozi kuna mashabiki wa Arsenal.Hii Club viongozi wake watakuwa wanavuta bangi si bure
Waingereza wameshaanza uchafuzi wa wachezaji Paul 𝐒𝐜𝐡𝐨𝐥𝐞𝐬: “Don't waste your time with comparison between me and Kobbie 𝐌𝐚𝐢𝐧𝐨𝐨𝐨…”
️ “He is 10 times the player I was at 19”.
"Just love the way he receives ball, calmness, awareness of what's around him and big goals in big games. He’s special and he's 𝐟*𝐜𝐤𝐢𝐧𝐠 𝐑𝐞𝐝!”.
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐
man utd |View attachment 2999950View attachment 2999951
Washabiki wa arsenalWatakuwa wajinga mno yaani kocha achukue makombe mawili ndani ya misimu miwili halafu wamtimue, kocha toka aje anasumbuliwa na majeruhi ya key players ila bado kaibua vijana wadogo wazuri wanaotarajia kufanya timu kuwa tishio huko mbeleni. Wakimtimua huyu kocha tajua timu yetu kweli ina mashetani ambayo hayataki mafanikio yetu na huenda mule ndani ya uongozi kuna mashabiki wa Arsenal.
Tumerogwa kaka si bureKocha anakupa makombe katika mazingira magumu namna hiyo unaachana nae kwenda kuchukua wahuni wasio na kombe lolote kwenye CV zao ?
Sifa zimezidi, japo kusifiwa ilitakiwa ila sasa navyoona Dogo watamharibu muda si mwingi.Waingereza wameshaanza uchafuzi wa wachezaji
Hivi imekuwa confirmed hii taarifa?Tumerogwa kaka si bure.
Bado.Hivi imekuwa confirmed hii taarifa?