Sure hao watoto na FA CUP ya youth teams walifunga wao dhidi ya Man Citystory nilikuta hivyo, lakini nahisi walitaka kumaanisha 𝐂𝐇𝐈𝐋𝐃𝐇𝐎𝐎𝐃 𝐂𝐋𝐔𝐁 sema nilisahau kubadiri hapo nilikuwa hypedsana Jana.
Sancho hatakiwi kurudi UnitedKwa hiki kikosi cha vijana kilichocheza jana, tufanye kampeni Greenwood arudishwe nyumbani tuwe na talents za maana. Ikiwezekana Sancho vile vile audio wayamalize na baba ubaya.
Mpuuzi yule ataharibu sprit ya team.Sancho hatakiwi kurudi United
Hii Club viongozi wake watakuwa wanavuta bangi si bureTunataka kufanya nini?
BREAKING: #mufc officials have had talks with representatives of Thomas Frank and Mauricio Pochettino.
@TelegraphDucker
Kocha anakupa makombe katika mazingira magumu namna hiyo unaachana nae kwenda kuchukua wahuni wasio na kombe lolote kwenye CV zao ?Laurie whitwell
TIER 1
: "We did get strong information that the expectation was that he [Ten Hag] would depart the club.
But we felt that we had to make checks and we were told the final decision has not been made yet
Wanaweza kufanya makosa kama yale ya wakati uleeee wa Van GaalKocha anakupa makombe katika mazingira magumu namna hiyo unaachana nae kwenda kuchukua wahuni wasio na kombe lolote kwenye CV zao ?
Si mara ya kwanza, wanarudia yale yale ya nyumaKocha anakupa makombe katika mazingira magumu namna hiyo unaachana nae kwenda kuchukua wahuni wasio na kombe lolote kwenye CV zao ?
Na bado hawajifunzi hii club inaanza kuchosha hata kuivumilia.Si mara ya kwanza, wanarudia yale yale ya nyuma