Chelkenge, Asenyani, Livakuku, Manyumbu ni sawa kiasi zaidi, yamekaa kiutani zaidi kuliko Asenyeto sijui livanyeto, chelk*nd* ambayo yamekaa kimatusi ya kijinga na kitoto...
Kama kuna shabiki bado anaangalia mechi za hii timu ana nafasi yake katika uvumilivu mi nishaacha mechi ya 4 hii naangalia matokeo tu. Maana sifurahii mpira wala matokeo.