Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hawa inatakiwa hata hyo uefa conference league wasiipate...yaani msimu ujao wabaki mulemule Uingereza wakizurura kama wenzao Chelsea

Acha waonje kuwa nje ya ulaya. Sisi tulimaliza wa 8 mara mbili mfululizo. Wanadhani tulipenda? Ila ndiyo kukuwa kwenyewe huko. Wacha wafunzwe na ulimwengu kama 7hag kashindwa kuwafunza.
 
Haya majina kuna watu walitakaga kulia kwenye jukwaa lenu. Kipindi hicho tunawaita Arsenyeto mara Asenyani

Chelkenge, Asenyani, Livakuku, Manyumbu ni sawa kiasi zaidi, yamekaa kiutani zaidi kuliko Asenyeto sijui livanyeto, chelk*nd* ambayo yamekaa kimatusi ya kijinga na kitoto...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…