D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,021
M
Mshiko mbele kwanza halafu mpira ufuate.
Unasema kwetu ni mpira kwanza, halafu mshiko upo tu, siyo?
Utakuwa sahihi.
Mazoezi ya kitotoMan utd tuna laana, ndio nimeamua kukaa kimya kwa sasa, siandiki tena magazeti, siumizi kichwa juu ya kocha ajaye, siumizi kichwa juu ya mipango ya INEOS.
Yote nayaona ni rubbish na hizi tetesi za usajili ndio zinazidi kunivunja moyo haijalishi ni uongo mwingi.
Fragile Ego
============
View attachment 2980658
Ipswich wanarudi ligi kuu baada ya miaka 22, jamaa amewatoa daraja la kwanza chini mpaka daraja la kwanza kuu kwa mwaka mmoja.
Then kwa mwaka mmoja anawarudisha ligi kuu kwa bajeti ya paundi millioni 6.
Wachezaji wetu walisema Mckenna ana mazoezi ya kitoto
Kumamakeee!!!!
kenge wamepambana hadi wamewakaribia wawapite
kumbuka ni point 1 tu inawatenganisha.sitoshaanga kenge wakacheza europa
manyuu mkabaki kutupigia kelele za fainali ya fa
Hamna namna yeyote UTD inaweza Piga hatua na % kubwa ya Lile Kundi la Wachezaji.Wachezaji wetu walisema Mckenna ana mazoezi ya kitoto
No Bruno Fernandez
Barobaro boys uwanjani leo tena kugawa kichapo kikali kwa wale palace kichapo kina wahusu wale.
Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha
kosi ili hapa twende nalo.View attachment 2982834
Kikosi chepesi kama 🪶🪶🪶🪶Barobaro boys uwanjani leo tena kugawa kichapo kikali kwa wale palace kichapo kina wahusu wale.
Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha 😁😁
kosi ili hapa twende nalo.View attachment 2982834