Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mchango wa pointi 3 kwa Arsenal PL:

• Wolves - Ametoa [emoji736]
• Chelsea- Ametoa [emoji736]
• Spurs - Ametoa [emoji736]
• Bournemouth - Ametoa[emoji736]
• Man United - Ameahidi[emoji352]
• Everton - Ameahidi [emoji352]

Spurs nae katoa mchango japo kwa mbinde![emoji836]️[emoji837]
 
Mazoezi ya kitoto

Kwa iyo hapo kapandisha watoto wenzie
 
Newcastle washawanchukulia nafasi ya 7.

Crystal Palace atahakikisha anawapa nafasi Chelsea wawakaribie. Kuna uwezekano mkamaliza nafasi ya 8. Hiyo itapendeza sana maana itaonyesha kuwa ushindi wa papatu papatu hauwezi kupatikana msimu mzima.

Furahini mko top 10 ingawa hamkustahili.
 
kenge wamepambana hadi wamewakaribia wawapite
kumbuka ni point 3 tu inawatenganisha.sitoshaanga kenge wakacheza europa
manyuu mkabaki kutupigia kelele za fainali ya fa
 
Wachezaji wetu walisema Mckenna ana mazoezi ya kitoto
Hamna namna yeyote UTD inaweza Piga hatua na % kubwa ya Lile Kundi la Wachezaji.
Kila mahali kelele zinapigwa kwamba UTD hadi timu ndogo zinaizidia Mpira. Uhalisia ni kwamba Wachezaji wengi ni wa timu ndogo tofauti ni Sare na Jina la timu wapo ni UTD.

Kibaya kuna wachezaji wengi wa ACADEMY wenye uwezo mdogo wanapewa Hype na Media na PR zao + Tatizo kubwa zaidi linakuja SAJILI Za Uongozi.
ZLATAN, IGHALO, CR7, CAVANI, VARANE, CASE, SANCHEZ n.k Unajengaje timu na SAJILI za Aina hii + Mishahara ya Kufuru!? Hapa ndo LVG anasema UTD ni klabu ya Kibiashara na sio ya Mpira.

Timu nyingi Zinaenda Jino kwa Jino na UTD sababu zinalingana Uwezo na Kundi kubwa la Wachezaji wa UTD au hata kuwazidi. Ukianza wataja unaeza kosa mwenye nafuu.
 
Barobaro boys uwanjani leo tena kugawa kichapo kikali kwa wale palace kichapo kina wahusu wale.

Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha 😁😁

kosi ili hapa twende nalo.
 
Mkifugwa humu ndani nawambia mtapaona pachungu, ni siku nyingi sana sijawakera.
 
Ni mara ya kwanza kwa bruno fernandez kukosa mechi kwa sababu ya majeraha.

Ni miaka minne tokea asajiliwe manchester united
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…