Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bayern ni kama Al ahaly tu wanafungika ila uoga wa Man utawapa matokeo kama ya Yanga, Arsenal waliwashika vizuri ila mistake ya Ozil ikawabeba.
 
v2 kma vya welbeck ndo huwa vinanifanya niamini kuwa messi ni mchezaj bora wa dunia wa wakat wote....lile goli la wazi kabisa
 
I have to admit this is not too bad, it certainly could be a lot worse. Not bad at all Moyes! Who knows maybe you do have a plan after all. Still not convinced though.
 
sijapata ona timu mbovu kama hii 80% ya mpira wote umechezewa eneo la penalt la man u. wanashindwa kufunga hata goli moja? sijui arsenal alitolewaje kirahisi na hawa wabovu hivi.
 
Tulipaswa kuwa na goli moja
Come on UNITED
 
Mimi sielewi kwanini timu haichezi kama hivi katika ligi?!?
 
sijapata ona timu mbovu kama hii 80% ya mpira wote umechezewa eneo la penalt la man u. wanashindwa kufunga hata goli moja? sijui arsenal alitolewaje kirahisi na hawa wabovu hivi.

Braza mbona nahisi kama vile tunajaribu kuhama kambi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…