Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Siku hizi nawaamini sana Muppettiers kuliko vyanzo vyengine maarufu, nimewafuatilia kwa hili dirisha la 2023/ 2024 wamekuwa wakiupiga mwingi sana.

unalikumbuka sakata la muarabu na sir jeff katika kuinunua manchester, muppettiers walikuwa mbele ya muda.
habari nyingi za upande wa INEOS wamekuwa wakizidaka kwa usahihi.

ngoja niangalie hii video yao walioiweka jana
=============
Wilcox begins assessing Ten Hag (and much more). United targets this summer in defense. The style INEOS leadership have selected to move forward with and how it fits. Sheffield United today, injuries and potential youth sightings.

View: https://www.youtube.com/watch?v=EkRNlfjpfYQ
 
Nimeona tweet ya Rashford analalamika kuwa anafanyiwa abuse, hivi huyu jamaa angekuwa Vini Jr si na mpira angeacha kucheza?

Anakula 300k kwa week watu wanamcriticize apambane analia lia mitandaoni, jamaa anafurahisha sana.
 
Moja wa madogo walioniuma sana kuondoka Kwake ni zidane iqbal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…