Ten Hag kuna muda unakosa hata cha kumtetea, hizi perfomance zake Rashford kila leo unabaki kushangaa anapata namba vipi na anacheza 90 zote day in day out
Hii Timu yetu ni takataka.
Hata hio fainali bora tuikose tu, kama hawa watoto wanatufanyia hivi, Mancity watachotufanyia itakua ni zaidi ya udhalilishaji wa kijinsia.