Hii ilikuwa ferguson pekee anapiga hesabu hizi. Na akiwa dressing room anaweza vunja mtu ..ni upuuzi stricker unakuwa gorini na partner anakuwa kwenye nafasi eti unataka ushinde wewe. Fergi anakuua. David beckam muingereza maarufu alimbonda...akamuuza.
Manchester United are speeding up the arrival of Ipswich head of recruitment Sam Williams. They have now completed a deal, and Williams will join next month. [
@reluctantnicko
]
Ila huyu Rashford naye banah, anapoteza kila Mipira tu, Yani ukiangalia kiwango anachokionyesha na Mshahara pamoja na allowances ni vitu viwili tofauti ( Man U needs complete changes in order to re- bounce back).

Ten Hag kuna muda unakosa hata cha kumtetea, hizi perfomance zake Rashford kila leo unabaki kushangaa anapata namba vipi na anacheza 90 zote day in day out