uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,041
- 8,636
Si
Sio kweli. Timu inaongoza ligi ngumu hivi unasemaje imechoka? Kwa taarifa yako timu ndogo zina nguvu sana sasa hivi, huwezi kuzifunga hizi timu ndogo kirahisi lazima utoke jasho.
Na wamegoma kuirudia kabisaaaaPenati ya mchongo
Messi akiona hivi atamind sana ataona kum unfollow Garnacho bado haijatosha.
Di Maria ataona kama amedharaulika kwenye ule ushauri wake
View attachment 2954038
Alim unfollow Garnacho kile kipindi afunhe acrobatic halafu akashangilia siuuuuuuMessi achukie kwa sababu gani sasa
Alim unfollow Garnacho kile kipindi afunhe acrobatic halafu akashangilia siuuuuuu
Alim unfollow Garnacho kile kipindi afunhe acrobatic halafu akashangilia siuuuuuu