Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sijui nikwambie ukweli au nikuache tu uendelee kujidanganya


Kwanza unatakiwa ujue 7+3hag sio kocha wa kisasa ,ile Ajax inawadanganya mpaka kesho


Kuna aina za makocha ambao wakisasa ,7hag hayupo kwenye hilo kundi kabisa


Hata ukimpa ile prime Barcelona au Prime Brazil ya mwaka 1970 ,Bado atapaki basi nakusubiri individual brilliance


Makocha wa kisasa wanatumia sana kitu tunaita JdP au kwa kihispania tunaita Juego de Posición JdP au kule uingereza wanaita POSITIONAL PLAY ,

‘Positional Play’, it is a philosophy that seeks to create an advantage over the opposition by a focus on the positioning and the movement of players to generate superiorities.


Makocha wanaocheza au tunawaita JdP coaches ni Pep Guardiola , Mikel Arteta ,Klopp, Inzagi, Di zerbi, Alonso ,Andoni Iraola,n.k


Erik 7 hag hayupo kwenye hilo kundi na hajawahi kufundisha mpira wa hivo hata alipokuwa Ajax,

Pale Ajax alikuwa anacheza vzr ,sababu ligi ni dhaifu tu, Frank De Boer amewahi kubeba Erevedise mara 4 mfululizo ,alipokuja EPL sijui hata kama alishinda mechi hata 5 Hadi anafukuzwa,

Kwahiyo 7hag kwanza uelewe tunamuweka kundi moja na kina Southgate,David Moyes, Tony Pulis, Big Sam, Chriss Wilder ,Sean Dyche

Hawa wape hata Prime Barcelona Bado watakaa nyuma watasubiri kaunta attack, labda wakutane na mpinzani dhaifu sana .


7hag alirithi kikosi kizuri tu wala hakikuwa kibaya ,akaongezewa Hadi €450m kufikia msimu huu aboreshe zaidi ,akapewa na uhuru wa kuchagua wachezaji anaowataka

Akamtimua CR7 ,akamleta mpwa wake Weghorst

Akashinikiza Anthony Santos Makudubela masebene aletwe kwa gharama yoyote

Malacia

Martinez

Casemiro

Amrabati

Mount

N.k


Maombi yangu Jamaa aongezewe mkataba mrefu
 
Safi wakimuondoa 7hag ,mleteni Southgate,binafsi napenda kuona manjesta wanacheza pira makande ,pira butua butua

Southgate hana tofauti na 7hag ,Uingereza Ina Talent za kila aina kwasasa ,lakini anacheza Pira magimbi


Ndio maana nasema 7hag na Southgate hata ukiwapa Prime Barcelona au ile Brazil ya 1970 Bado watapaki Basi tu





Sky sports

Manchester United will reportedly look to bring England's entire coaching staff to Old Trafford this summer
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
 
Jamaa alipendekeza usajili wa alphonse davis akiwa bado hajabaleghe, klabu ikakataa.
View attachment 2947523

View attachment 2947524
Schneider
Modric
Hazard
Kroos
Company

Hizi ni sajili ninazozikumbuka ambazo hazikufanikiwa kukamilika kwenda United.

Bila shaka kama zingekamilika Man City asingedominate ligi kwa kiwango cha kutia aibu namna hii.

Kuna wachezaji wengi sana wa maana huwa wanakuwa scouted kwenda United ila mwisho wa siku watoa fedha hushindwa kutimiza majukumu yao.
 
Manchester kama Nchi yetu tu matapeli wengi, mafisadi wakutosha
 
kikosi Cha watu wazima kinashuka twende nalo.


Leo kidogo naona kikosi chetu wachezaji wanaeleweka maana hatujawai kuwa na wachezaji muhimu wawe wazima leo unaona hata sub zinavutia aise

watapigwa Sana wale
 
Mechi ya bayer leverkusen ni bora ingelikuwa ya mwisho kwa leo, mpira nilioushuhudia ni wa kiwango cha juu sana kwa level yao.
 
Dakika ya 28, 7 hag anamuita Bruno pembeni anaanza kumpa maelekezo

Naanza kumuelewa hamis77 kwamba huyu jamaa ni tapeli
 
Ni vile tu ni mapenzi ndo mana tunavumilia ila kiuhalisia huu mpira sistahili kuuangalia hata dakika moja ni aibu na fedheha kuchezeshwa namna hii kila mechi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…