Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huu mbinyo tutawapiga pale sebuleni kwenu

Mna timu mbovu sana ,nawaogopa luton lakini sio manjesta

Timu ikishambulia mbele ,ukipiga pass moja upo golini kwao


Nasema hivi tutawapiga mbinyo wa haja


Tunataka dk45 mashabiki pale matofalini wakimbie

 
Erik 7+3hag apewe miaka mitano Tena


Napenda kuona mnacheza hivi kila siku

Napenda kuona mnapigwa msako daily


Huyu 7hag hata akipewa ile Prime Barcelona yenye messi ndani yake ,Bado ataichezesha hivi tu


Naomba msimu ujao awepo na ikiwezekana apewe lifetime contract
 
Yaani hakuna timu nyepesi kuifunga na kuipiga Sako la nyani kama manjesta ya tapeli 7+3hag
 

Attachments

  • 20240310_183011.jpg
    84.7 KB · Views: 13
Yaani hakuna timu nyepesi kuifunga na kuipiga Sako la nyani kama manjesta ya tapeli 7+3hag View attachment 2942263
Shida sio kutufunga, kama kutufunga mshatufunga sana kwa kipigo mpaka cha 8-2
Sisi tunauliza hio timu yenu itajengwa kwa karne ngapi?
Kila msimu wenzenu wananyanyua makombe halafu nyie bado mnajenga tu timu, kuna watu humu kama kina arsenal2004 tokea wamezaliwa mpaka sasa hivi nao wanaitwa baba hawajawahi kushuhudia timu yao inabeba makombe makubwa, maskini ya Mungu wanaishia kuona Liverpool, Chelsea, Man Utd, Man City, Crystal palace wanabeba Epl wao udenda unawatoka.
Wanawaona Chelsea, Liverpool, Man Utd, Mancity, Westham wanabeba makombe makubwa ya Ulaya halafu wao wanaishia kubeba Emirates Cup na Misinia ya ugali.

Badilikeni ndugu zangu tafuteni kocha wa kueleweka, na sisi tunapenda kuwaona mkiwa na furaha, sio kila mwisho wa msimu mnaishia kutukanana wenyewe kwa wenyewe humu, ila kwa mtindo wenu huu wa kung'ang'ania mid table coach anae wadanganya kwa phase zisizoisha nina uhakika arsenal2004 anaweza kujukuu bila kushuhudia timu yake pendwa inabeba kombe lolote la maana zaidi ya kujisifia tu GD, Pressing na Overloading, positional interchange pamoja na aerial duel
 
Safari hii tutawapa kipigo cha mbwa mwizi
 
Garnacho ba mainoo ni ballers. Hatari sana.
Kwa kweli leo nimekuwa nikipitia highlight za Maino na Garnacho nimegundua timu yetu kwa muda mrefu imekosa wachezaji wa aina hii na hawa ndio wanauwezo wa kucheza style ya kipa Onana.

Kwa kweli hawa vijana wanauwezo mkubwa sana wa kumiliki mpira na wana akili nyingi sana na maamuzi yaliyo sahihi yaani wakiwa na mpira ni tishio na hata wakiwa hawana. Namuona Endrew Pirlo ndani ya Maino. Combination hii itakuwa hatari sana akiongezeka Greenwood maana style yake ya uchezaji inafanana na Garnacho na huwa akipiga shoot on target 2 moja chuma. Kuna haja ya kuaanza kuwaondoa wachezaji aina ya kina Rashford na Martial wasije kuwafundisha uvivu hawa vijana.
 
Haijawahi kunyanyuq kwapa. Basi itakuwa na shida
 
kuna siku utakuja mkataa huyo garnacho
 
England walikua kwenye kiwango kizuri cha kuwafunga Brazil, walivyoingia tu wale vilaza wenu mambo yakabalika wakafungwa.
Ningekua Southgate mizigo yenu ningeiacha inagarimu timu.
 
Tujikummbushe

Huyu 7hag pamoja na kupewa pesa mingi za Usajili,aliishia kuburuza mkia mbele ya timu dhaufu Copenhagen na Galatasaray
 
Ni wachache sana tuliona utapeli wa huyu jamaa

Hapa wanasingiziwa Grazzer family

Na hii ni week and week

View attachment 2945306
Lakini huwezi kuamini kuwa hii mechi Liverkuku alikufa pamoja na kumpanga Bruno na Anthony kwenye backline ya United. Mpira ni mbinu ya kupata point 3 mkuu usilazimishe wote tucheze Artetaball.
 
Lakini huwezi kuamini kuwa hii mechi Liverkuku alikufa pamoja na kumpanga Bruno na Anthony kwenye backline ya United. Mpira ni mbinu ya kupata point 3 mkuu usilazimishe wote tucheze Artetaball.
Tunazungumzia kushinda au tunazungumzia utapeli?

Kubahatisha kupo

Ndio maana binafsi ilinichukua mechi 5 tu kujua 7hag ni tapeli ,ingawa mlikuwa mnashinda

Tena mechi iliyonipa mwanga mkubwa kuwa 7hag ni kocha tapeli ni vs Arsenal mlishinda 3-1


Mimi naungalia mpira kwenye nyanja nyingi ,nyie mnaungalia mpira kwenye matokeo tu


Wewe unaona Leo ,Mimi naangalia miaka kumi mbele

Mwaka Jana ungeambiwa 7 hag ataburuza mkia mbele ya Galatasaray na Copenhagen ungebisha ,lakin kwa ule mpira wa ujanja ujanja ambao kina sisi tuliuona ,hatujawa surprised na haya matokeo anayopata sasa


Mpeni mkataba mpya ,tuedelee ku enjoy mnavyopelekewa moto week and week


 
Kama huyu 10 na wa AJAX ni mtu mmoja, amini kwamba jamaa ata turn things around akipata back up ya kutosha kwenye upande wa management. United ya leo star wetu ni Rashy mtu ambaye ukimuweka sokoni leo timu kubwa hawasumbuki naye na akichukuliwa ataenda timu kama Galatasaray.

Kama sikosei unafuatailia usajili wa kiutawala anaofanya tajiri mwembamba kama maandalizi ya kusuka United ya kutawala Ulaya miaka 10 ijayo.
Inatisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…