Imeniuma kama zile missed calls zako b...Sawa b..., asante sana. Na poleni kwa matokeo ya Azam. Ila ni matokeo ya kama simu ya kuwaamsha kwa mechi ya robo fainali.
Ova
Nyie na huyo B kuna namna, anywayImeniuma kama zile missed calls zako b...
Naumwaaaaa!
Asee😂Naomba kujua.
Dakika za mwisho Bruno alihamia kucheza namba ngapi
Mi sina roho mbaya...nazungumza ukweli tu....halafu Bora City achukue hili kombe..baba Ubaya akiliotea kwakwli atatutolea maneno ya shombo sana....sijui sura zetu tutaziweka wapi
Watasema wana community shieldHalafu nzuri zaidi mkibahatika kumaliza msimu bila ya kombe lolote, sijui Masingeli na nyinyi chawa zake wewe pamoja na mkorea mtaziweka wapi sura zenu
Sura zimeumbiwa haya, Masingeli atajipiga Ban halafu mkorea atajipa likizo ya muda mfupi ila wewe na hio sura yako ya kibandindu utakomaa humuhumu na kutuletea zile ngonjera za phase4
Pole b..., kazi ya football ni kuleta furaha na maumivu. Huwa ni lazima vije.Imeniuma kama zile missed calls zako b...
Naumwaaaaa!
Watasema wana community shield
Kwa hzi kelele...friends of Coventry tuna jambo letu siku hyo... Wembley mtaiona chunguhainaga akili hii misukule, tena inaweza kukomaa mpaka misuli ya shingo inawatoka wakiaminishana kua lile sinia la wali ni kombe, wakati yale sio mashindano bali ni bonanza tu la ufunguzi wa ligi
Duh hembu nipangie hawa wakiwa mabeki mbele ilikuaje.
Hapo mludishe Maguire nyuma toa EricksenDuh hembu nipangie hawa wakiwa mabeki mbele ilikuaje.
Rushford. Dialo mbele
Memorable one.
Alicheza 4Naomba kujua.
Dakika za mwisho Bruno alihamia kucheza namba ngapi