Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ni bahati ila kisoka bado sana sie

Hii ndio liverpool iliyomfanya pep apaki bus second half yote
Halafu kuna mamburula wanafurahia hapa..yule mbwa yuko mahali anakunywa whiskey kwa dharau sana anajua labda atakutana na sisi atatupiga goli 3, tena kwa kikosi B
Yule mbwa anamuogopa klopp kama ukoma, kwanza alivyosikia anaondoka alifurahi kinyama
 
Hawa Manunu hawatachukua hili kombe
... officially Man City anabaki na kombe lake...Bora Livakuku wamechinjwa...maana shingo zilishazidi vichwa Hawa kuku
Mkuu punguza roho mbaya kumbuka tupo kwenye mwezi mtukufu wa Ramadhani, mwezi wa kutakiana kheri huu.
ManCity ataconcentrate zaidi kwenye Epl na Uefa unaweza shangaa nusu fainali Chelsea akamtoa ManCity halafu fainali ikawa ni Nyumbu na zile kenge za darajani.
Pia hata hawa Coventry sio wa kuwachulia poa huenda wao ndio wakacheza fainali.
 
Mi sina roho mbaya...nazungumza ukweli tu....halafu Bora City achukue hili kombe..baba Ubaya akiliotea kwakwli atatutolea maneno ya shombo sana....sijui sura zetu tutaziweka wapi🤠🤠
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…