mtumishiwaleo
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 1,552
- 1,788
Kweli aliwapa jina Man U la nyumbu hakukosea,unafingwaje kizembezembe hivi,humu hamna timu ya mpira ni genge la wauni kama wakiendelea hii timu itawachukua miaka 100 kichukua kombe kubwa la heshima kama UEFA na EPL na uropa,wachezaji wako goigoi utafikiri wote ni Islamic wamefunga.Leo utamsingizia tu Onana kama goal la pili ni ujinga wa bruno
Zile goli angekua kipa mwingine tusingefungwa????Niaminini mimi, hatuna kipa kabisa *****
kuna raia anasema litarudishwa na mengine zaidiLisirudi sasa maana hili ndio tatizo letu
Hata kama anae jibu ni hana viungo wenye kunusa hatari na mbaya zaidi hatuna wachezaji wa kukimbia dk ya kwanza mpaka tisini...wachovu ni wengi sanaTen Hag huwa hana video analyst? Hili tatizo huwa halioni toka msimu unaanza?
View attachment 2937472
Naruhusiwa kumtukana Rashford jamani auTen Hag huwa hana video analyst? Hili tatizo huwa halioni toka msimu unaanza?
View attachment 2937472
Katika siku ambayo nawaombea Dua njema ni leo...ila Sasa pale Rashidi Makame ndo kafanya kitu gani aisee🤠🤠Daaahhh Rashidiiiiiii
Daaahhhh ila sio mbaya, kwenye dakika 85 mpaka 90 tumempiga msako wa utatoa hutoi ila ndio hivyo kagoma kutugea.Katika siku ambayo nawaombea Dua njema ni leo...ila Sasa pale Rashidi Makame ndo kafanya kitu gani aisee[emoji1783][emoji1783]
Man U ina karaisha sanakuna raia anasema litarudishwa na mengine zaidi
kama vifungashioo 🤣 🤣 🤣
[emoji28][emoji28]afu una pewa taarifa Rashid kagoma kwenda PSG kenge hiiDaaahhh Rashidiiiii unazinguaaaaa unakosaje goli la wazi hivyo[emoji30][emoji30][emoji30]