Kipara inatakiwa hii game awakabidhi watoto wa akademi wakamfanyie kaziManchester united vs liverpool today
All the best manchester united
Play like a final! run for 90'min
If we can't beat liverpool in a normal time
then let's go for penalties
Kipara inatakiwa hii game awakabidhi watoto wa akademi wakamfanyie kazi
Basi amjaribu Amad walau hii game kuliko kurudia makosa yale yale ya Rashford akitegemea matokeo.Watoto wetu wa academ bado mkuu
We are lucky for Maino and enarcho to graduate
Waliobaki sioni potential they will end up playing luton and championship
Liverpool ana bahati this time wamegraduate vijana wazuri sana
Watoto wapi hao ?Kipara inatakiwa hii game awakabidhi watoto wa akademi wakamfanyie kazi
Kambwala, FORSON, AMAD,Watoto wapi hao ?
Hapana hili kombe tunalitaka sana kuliko kingine apeleke timu yote anayoitegemea.Kambwala, FORSON, AMAD,
Hadi sasa kwa mpira wetu ule tunaocheza hata tukishinda unaona ni bahati zaidi ya uwezo, kitu ambacho hutegemei kukipata kila mechi.
Kwetu msimu umeisha ila tuna furaha na tajiri mwembamba ameonyesha kulifahamu tatizo la msingi la timu yetu kwa mujibu wa wengi miongoni mwetu katika majukwaa mbali mbali. Na nia ya kulimaliza pia ameonyesha. So, tuwape vijana nafasi wafurahie soka lao mbele ya watazamaji wa Old Trafford