Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kama ten hug angekua elite/top manager asingebadili falsasa zake ila angekomaa nazo
Kama alikua anacheza possession based Ajax kwanini ahamie kwenye transition? Hamuoni tu kua mnapigwa na uyo jasusi mchana kweupe?
 
Hivi nyumbu mna shida gani? Hamjui hata hesabu? Ten hug apo kwenye iyo list ya wachezaji 9 amesajili watatu tu, sasa iyo asilimia 80 umeitoa wapi?
Ten hug ni failure tu hapo unyumbuni hamna mahali atawafikisha, kocha ego kubwa uwezo mdogo
80% ni estimation
 
Viungo wa ulinzi kina nani? Casemiro mla pensheni au amrabat?
 
Sawa Mkuu..

Ila kama Manchester siku moja tutabeba ubingwa wa EPL
Rashford atakuwa mchezaji wa akiba
Bruno ni mixed
Mainoo Yes
Hojlund Yes(asiumie umie sana)
Lisandro Yes (asiumie umie pia)
Onana Yes (ame anza kuzoea) tunampa mda
Garnacho Mixed (apate Mwl asiechekelea utoto)

Transition football..
Ukweli sijui sana ni shabiki wa kawaida ila huu mpira ni mgumu na rahisi kwa wakati mmoja..

Ni rahisi ukiwa na watu dizaini ya kina Mbappe
Ni mgumu kama forward ni kina Rashford..

Mpira huu Mane na Salah waliucheza naikumbuka mechi ya AS Roma Anfield..
Nakumbuka pia mechi ya Arsenal vs Utd UCL semi final 2008

AC Milan vs Utd UCL semi final San Siro..

Sio mfumo rahisi kwa watu waliopo..

Na mpira unabadilika wakuu ya nini kujitesa??

Wataru Endo kijana mdogo wa kijapan navuruga plans zooote za Mr Kipara..

Kumbe hata sisi proper System Mainoo na Amrabat wangeweza kabisa kuwashika kina Fulham, Luton na Bournemouth??
Achilia mbali Eriksen, Casimiro na Tominay
 
Ten Hag alikuta Pogba amemaliza mkataba wake na alikuwa na injury kwa purukushani za Pogba ilikuwa sahihi kuanza rebuild bila yeye.

Kumuacha Ronaldo aondoke ilikuwa sahihi, nilisema toka day one usajili wa Ronaldo ulikuwa chanzo cha tatizo jipya matokeo yake likaondoka na Ole, Ole mwenyewe amelithibitisha hilo kwenye interview yake ya hivi karibuni.

Klopp alistruggle misimu minne kupata walau kombe la Champions League na alikuta Liverpool imesajili wachezaji wengi wa hovyo na kipindi hicho uwekezaji ulikuwa mkubwa kwenye timu tano tu za ligi.

Kuanza kutaka Ten Hag aperform kiwango sawa na kila Klopp na Pep wenye misimu tisa kwenye ligi na vikosi vyao ni kumuonea huyu ndiyo kwanza usajili wanaofanya ni wa kutest mitambo.

Ten Hag ana mapungufu yake lakini bado anastahili muda kuongoza United.

Nilisema Man United tunahitaji a pragmatic Manager anayetaka matokeo Ten Hag amefit kwenye hilo zipo set backs chache ambazo zinavumilika.
 
Kosa la Ten Hag ni kumuacha Fred aondoke halafu hajapata replacement sahihi.

Amrabat na Mount hawajaongeza kitu chochote kikosini ni jambo la kawaid kwa usajili kufeli ni kama Pep na Philip's au Matheus Nunes
 
Unakumbuka Klopp na Gegen pressing yake alivyokuwa anachslapika ?

Hata Arteta kuna wakati alikuwa anapigwa mechi kama tano mfululizo.
 
Unakumbuka Klopp na Gegen pressing yake alivyokuwa anachslapika ?

Hata Arteta kuna wakati alikuwa anapigwa mechi kama tano mfululizo.
Nakumbuka Mkuu..
Nyingi akiongoza zinasawazishwa..hio ipo hata sasa..ila alikua na watu wanaofunga magoli ya kutosha..

Sio hao wetu..

Jambo jema kusimama na mwalimu wetu..kikubwa awaondoe shaka wote wenye shaka nae..

Last season ni tuliponea zaidi ubutu wa Chelsea na Liverpool..
Achilia mbali Spurs..
 
Mashabiki wa nyumbu mnaona Arsenal Liverpool Manchester City wanavyocheza football
️? Flano imagine unaangalia hizi team then angalia Manchester United mvayocheza inasikitisha
Alhamdulillah lakini matokea tunapata, Arsenyau ndie angekua anacheza kama tunavyocheza sisi nakuhakikishia kwenye msimamo wa ligi angekua kule chinichini kabisa pamoja na kina Burnley
 
Na wenzetu wanazidi kujijenga..kuwa na huyu jamaa ni njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…