80% ni estimationHivi nyumbu mna shida gani? Hamjui hata hesabu? Ten hug apo kwenye iyo list ya wachezaji 9 amesajili watatu tu, sasa iyo asilimia 80 umeitoa wapi?
Ten hug ni failure tu hapo unyumbuni hamna mahali atawafikisha, kocha ego kubwa uwezo mdogo
Viungo wa ulinzi kina nani? Casemiro mla pensheni au amrabat?Tatizo ni mfumo Mkuu..hili kashindwa..au ni uongozi wa mpira haupo Manchester United..
Liverpool jana hawakuwa na
Allison
Trent
Robbo(alitokea benchi)
Salah (alitokea benchi)
Konate
Jota
Ila watoto waliupiga sana sana..
Ikifika sehemu KDB anagomba, Bernado anapaniki, Foden anangoja Rebound basi mambo yalikua moto..
Kwetu mfumo haupo..
Still tuna viungo wa ulinzi wengi ambao wangeficha kabisa ubovu wa safu ya ulinzi..
Matokeo yake Lindelof akimbizane mwanzo mwisho..
Mwl pamoja na ubovu wa uendeshwaji ila na yeye hatoshi tu..
Van gal bana pasi hata kama ni za kurudi nyuma zilipigwa na kina fellaini..
Chukua 3 gawa kwa 9 zidisha kwa 100% utapata ngapi achana na estimation80% ni estimation
Sawa Mkuu..Ni suala la muda,
ROMA haikujengwa kwa siku moja
1. Hojlund
2. Garnacho
3. Martinez
4. Maino
5. Dalot
6. Onana
7. Bruno
8. Shaw
9. Rashford
Hawa wakiwa fit, united tunamiliki ball na %kushinda inakuwa juu na hiyo list 80% yeye ndio kasajili.
Style of playing ni transition football, hii style kwa sasa inataka rashford, garnacho, bruno, maino na hojlund wawe fit ndio utaona impact
Kwa kweli ETH bado yuko asubuhi kweny hii project plus kaikopy baada ya kutua united.
Kuhusu usajili jamaa support haikuwa super sababu club ilikuw sokoni, tulikuw tuna ungaunga plus management mbovu.
MIMI NIKO NA ETH, msimu tunatoboa top 4.
Msimu ujao ndio wa kumuuliza maswala magumu, na yeye alipofika aliahidi msimu wa tatu ndio aulizwe.
Puuzia nyama ya jirani zetu, sasa sisi tule tembele, tukisubri hii process ya ETH km itakubali au vinginevyo.
sio mbali ni next season tu ndio utaamua hatma yake na ni mwisho wa mkataba pia.
Luis Van Gal amewahi upiga na kina Fellaini..Viungo wa ulinzi kina nani? Casemiro mla pensheni au amrabat?
Wewe ndiyo hujaelewa rudi ukasome tenaHebu fafanua tena maelezo yako kwa ushahidi kaka, hii ni February gap la points ni 14 na unasema man u ilikua kwenye raceView attachment 2931852
Msimamo wa ligi uliisha hivi, hii ilikua ni one horse race kaka si vyema kutumia kwenye reference zako
View attachment 2931854
Ten Hag alikuta Pogba amemaliza mkataba wake na alikuwa na injury kwa purukushani za Pogba ilikuwa sahihi kuanza rebuild bila yeye.Sanasana ameamin kuwa hii sio ligi lele mama makocha miamba kama pep na huy wa Liverpool sio mchezo..tatizo ni yeye mwenyewe....
Waxhezani ka.ma amana unaitumiaje. Alitakiwa mlezi pia. Kukosana na Ronald. Pogba. Sancho..kumuuza Fred nakadhalika ni kukosa uwezo wa kupambana na malezi.
Baada ya kukosana na pogba na Ronaldo alipaswa kulea watoto wa academy..
Kama alivyompata mainoo na ganacho alipaswa kumpata left back. Centa back right back hawa stricker watoto alipaswa sometimes kuwachanganya. Sasa utakaaje unamtegemea Evans. Mbona kambambwa anapambana poa tu
Kosa la Ten Hag ni kumuacha Fred aondoke halafu hajapata replacement sahihi.Sanasana ameamin kuwa hii sio ligi lele mama makocha miamba kama pep na huy wa Liverpool sio mchezo..tatizo ni yeye mwenyewe....
Waxhezani ka.ma amana unaitumiaje. Alitakiwa mlezi pia. Kukosana na Ronald. Pogba. Sancho..kumuuza Fred nakadhalika ni kukosa uwezo wa kupambana na malezi.
Baada ya kukosana na pogba na Ronaldo alipaswa kulea watoto wa academy..
Kama alivyompata mainoo na ganacho alipaswa kumpata left back. Centa back right back hawa stricker watoto alipaswa sometimes kuwachanganya. Sasa utakaaje unamtegemea Evans. Mbona kambambwa anapambana poa tu
Unakumbuka Klopp na Gegen pressing yake alivyokuwa anachslapika ?Na hili ni pungufu lake katika falsafa yake ya kufundisha mpira..ameshindwa kuiheshimu EPL..
Pep ametamba kwa gharama kubwa sana na bado amepata free run mara 2 tu kati ya ndoo zake 5..mbili kazibeba mechi ya mwisho..
Moja pia ni kukosa ukomavu kwa Arsenal..
Zile mbili tulizomfatia alikuwa ligi ya peke yake..
Erik ameshindwa kuiheshimu EPL na mwisho ataondoka..
Manchester United sio kama hao
Huyo mtoto hawezi kucheza EPL ni mdogo mno labda kwenye mifumo mizuri kama wa PepAmad amefuta kila kinachohusu manchester united katika account yake
View attachment 2932034
Uwa natamani sana kumuona akicheza huyu kijana.Amad amefuta kila kinachohusu manchester united katika account yake
View attachment 2932034
Hata pep anapenda watu kazi siku hizi..Huyo mtoto hawezi kucheza EPL ni mdogo mno labda kwenye mifumo mizuri kama wa Pep
Nakumbuka Mkuu..Unakumbuka Klopp na Gegen pressing yake alivyokuwa anachslapika ?
Hata Arteta kuna wakati alikuwa anapigwa mechi kama tano mfululizo.
Nachukulia mfano wa Benardo Silva na David Silva, Rahim Sterling , Riyadh Mahrez na Phil Foden siyo watu wakubwa kimaumboHata pep anapenda watu kazi siku hizi..
Hata King Leo na ufupi wake alikua na nguvu sana
Mechi nyingi tulizopoteza ni zile ambazo tunatanguliwaMwaka huu tunapeaya sana. Tukishonda lazima zirudi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Alhamdulillah lakini matokea tunapata, Arsenyau ndie angekua anacheza kama tunavyocheza sisi nakuhakikishia kwenye msimamo wa ligi angekua kule chinichini kabisa pamoja na kina Burnley[emoji23][emoji23][emoji23]Mashabiki wa nyumbu mnaona Arsenal Liverpool Manchester City wanavyocheza football [emoji460]️? Flano imagine unaangalia hizi team then angalia Manchester United mvayocheza inasikitisha
Tatizo ni mfumo Mkuu..hili kashindwa..au ni uongozi wa mpira haupo Manchester United..
Liverpool jana hawakuwa na
Allison
Trent
Robbo(alitokea benchi)
Salah (alitokea benchi)
Konate
Jota
Ila watoto waliupiga sana sana..
Ikifika sehemu KDB anagomba, Bernado anapaniki, Foden anangoja Rebound basi mambo yalikua moto..
Kwetu mfumo haupo..
Still tuna viungo wa ulinzi wengi ambao wangeficha kabisa ubovu wa safu ya ulinzi..
Matokeo yake Lindelof akimbizane mwanzo mwisho..
Mwl pamoja na ubovu wa uendeshwaji ila na yeye hatoshi tu..
Van gal bana pasi hata kama ni za kurudi nyuma zilipigwa na kina fellaini..