Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United have faced 467 shots in the Premier League this season.

Only Sheffield United (469) have conceded more.
 
Sasa ndiyo naanza kuelewa uamuzi wa timu kumuachia De Gea. Wafanye tena kwa Casemiro na Varane. Wamiliki wapya wafute ile dhana ya kuwa United ni sehemu ya kupata pensheni.

Pia, kuwe na salary cap. Mchezaji kama Rashford na wachezaji wengine waliobaki hakuna mwenye hadhi ya kupata £300K.

Casemiro na Varane hakuna cha maana wanachoifanyia United kwa sasa zaidi ya kujikusanyia pesa za kustaafia. Tukifanikiwa kuwatoa hao anabaki Rashford ambaye kama tetesi ni za kweli PSG wakija hakuna haja ya kumshikilia.

Martial, Antony, Maguire, Eriksen nao wanajaza nafasi tu, siyo watu wakitegemea kukupa EPL.
 
Erik ten Hag : “I hate to say it but they were better today – especially their determination, passion and desire. They wanted to win more so they won."
 
Erik ten Hag : “I hate to say it but they were better today – especially their determination, passion and desire. They wanted to win more so they won."
Ameshajikatia tamaa anajua wachezaji ndio tatizo tena wale aliowakuta

Rushford Bruno mactonomay Dalot verane

Wachezaji wake

Kama vile Yule beki wankati na yule wa kushoto wangekuwepo timu isingeyumba hivi.

Rushford na wenzie wapuuzi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…