Ni baada ya leo kuichapa ManCity 2-1 uwanja wa Wembley huku golikipa Onana akiwa man of the match.
---
Manchester United imefanikiwa kubeba Ubingwa wa FA Cup 2024 kwa kuifunga Manchester City katika Fainali kwa magoli 2-1 kwenye Uwanja wa Emirates Jijini London
Magoli ya Alejandro Garnacho na Kobbie Mainoo yameiwezesha United kubeba kombe hilo kwa mara ya 13, mara ya mwisho kulibeba ilikuwa Mwaka 2016, huku City ambayo iliyopewa nafasi kubwa ya kushinda imepata goli kupitia kwa Jeremy Doku
Kipigo hicho ni kama United imelipa kisasi kwa kuwa msimu uliopita ilifungwa na wapinzani haohao katika Fainali ya FA kwa magoli 2-1
Timu zilizobeba FA Cup mara nyingi ni Arsenal (14), Man. United (13), Chelsea (8), Liverpool (8), Tottenham Hotspur (8), Man. City (7) na AstonVilla (7)