Manchester City inatoa dozi ya magoli mengi

Napata raha jamani kwsababu Leo ni ijumaa bado kesho jmosi na j2! J3 mapema nasongea kwa tv kupata raha!

Chelsea we know what to do! Iwe ugenini au nyumbani!

Tunakwenda kufanya kile ulimwengu hautegemei!
Kumbukeni mechi za Barcelona jamani!

tunakumbuka sana ila mourinho yule tofauti na mourinho huyu,hapa nishaanda 100k naenda kumbetia mhindi akinila poa.
 
Ndugu Mndengereko; tulikuwa pamoja wakati wa shida zako pale Man Utd ya Moyes; leo unatupia vumbi kwenye timu yangu mkuu wangu? Hakuna neno..nataka jumatatu then we'll talk face to face; bring them..
tunakumbuka sana ila mourinho yule tofauti na mourinho huyu,hapa nishaanda 100k naenda kumbetia mhindi akinila poa.
 
Unakumbuka tumekuchana chana 3-1 si muda mrefu?
Huyo unayemwogopa "city" sisi tumemliza goli 2-1 raundi ya kwanza:
Watu wa Man Utd, wanataka tufungwe..ha ha ha..sisi tukisikia Manchester tu. hatutofautishi; iwe ni United au City sisi tunapiga tu..tunapenda gemu kubwa:

Msimu huu 2013-2014.
Spurs 1- 1 Chelsea FC:fencing:
United 0 - 0 Chelsea FC
Man City 1 - 2 Chelsea FC
Liverpool 1- 2 Chelsea FC
Arsenal 0 - 0 Chelsea FC
Arsenal 0 - 2 Chelsea(capitol one cup; kombe la ligi)
Man United 1 - 3 Chelsea FC
*Hatucheki na mtu;..tukutane kiwanjani.

Tutaenda kuongea kiwanjani...
Napata raha jamani kwsababu Leo ni ijumaa bado kesho jmosi na j2! J3 mapema nasongea kwa tv kupata raha!

Chelsea we know what to do! Iwe ugenini au nyumbani!

Tunakwenda kufanya kile ulimwengu hautegemei!
Kumbukeni mechi za Barcelona jamani!
 
mkuu mancity pia ni timu yangu.timu yetu ipo poa sana.mancity ina hazina kubwa ya wachezaji inshu ni kuwatumia.kipindi hiki wanatumika vizuri.sio kama madrid ya enzi zileee mastaa kibao kila wanachezea kichapo.
J3 lazima tuwachape Chelse tenha nyingi tu! nawakubali sana madogo wanajituma sana!
 
Unakumbuka tumekuchana chana 3-1 si muda mrefu?
Huyo unayemwogopa "city" sisi tumemliza goli 2-1 raundi ya kwanza:
Watu wa Man Utd, wanataka tufungwe..ha ha ha..sisi tukisikia Manchester tu. hatutofautishi; iwe ni United au City sisi tunapiga tu..tunapenda gemu kubwa:

Msimu huu 2013-2014.
Spurs 1- 1 Chelsea FC:fencing:
United 0 - 0 Chelsea FC
Man City 1 - 2 Chelsea FC
Liverpool 1- 2 Chelsea FC
Arsenal 0 - 0 Chelsea FC
Arsenal 0 - 2 Chelsea(capitol one cup; kombe la ligi)
Man United 1 - 3 Chelsea FC
*Hatucheki na mtu;..tukutane kiwanjani.

teh teh ninauhakika kabisa lazima mkalie tena bila ubishi! hivi hamtujui vizuri?
 
Napata raha jamani kwsababu Leo ni ijumaa bado kesho jmosi na j2! J3 mapema nasongea kwa tv kupata raha!

Chelsea we know what to do! Iwe ugenini au nyumbani!

Tunakwenda kufanya kile ulimwengu hautegemei!
Kumbukeni mechi za Barcelona jamani!
Usijali utapata raha zaidi na milio mingi itasikika mtakapo kalia!
 
sitaki kujua nani yupo hme nani yupo away lakini hiyo mechi lazima mkae man city yupo onfire chelsea ya mourinho haina uwezowa kumzuia hata kidogo
let them know and see Broo! lazima wakalie!
 
tunakumbuka sana ila mourinho yule tofauti na mourinho huyu,hapa nishaanda 100k naenda kumbetia mhindi akinila poa.

Kwani Mourinho Yule alishakufa?

Teh Teh Teh Teh Teh! Hiyo pesa iweke kwa Chelsea utakula Lkn ukiweka kwa city Lol!
 
daviey69 Chelsea hajafungwa na Man city msimu huu! Usiwe muongo na msimu huu Chelsea peke yake ndo iliyoifunga Man City.

Na timu kubwa 5 msimu huu Hakuna ata moja iliyoifunga Chelsea!

Man Utd

Spurs

City

Arsenal

Liverpool

Zote hizo Hakuna ata moja iliyoifunga Chelsea!
 
Last edited by a moderator:
Tumecheza game 4 kubwa ugenini tumetoka sare 3 na kushinda moja kwa Arsenal. City mmecheza game 2 ugenini kubwa na kufungwa kwa Chelsea na mmeshinda ya spurs!

Mkitia mguu kwa Arsenal na Man Utd na Liverpool Lazima huko mfungwe!
 
naskia pale Etihad eti siku hizi panaitwa Tarime. Hii ni kutokana na mauaji yanayotokea pale kila kukicha.
 
mtu asiyejua mpira hawezi kubisha na mie;
Mtu wa mpira hasemi lazima; mpira unachezwa uwanjani siyo JF, humu tunapaswa kujadili mbinu na mambo ya mpira ..
teh teh ninauhakika kabisa lazima mkalie tena bila ubishi! hivi hamtujui vizuri?
 
Mkuu Ntuzu; tulia tu..jumatatu si mbali; humu ndani utashangaa watu kama wamehama vilee; SISI TUNATENDA KWANZA KUSEMA BAADAYE; waleteni hao MAN CITY.

Back
Top Bottom