Manchester City inatoa dozi ya magoli mengi

Manchester City inatoa dozi ya magoli mengi

Dogo umefufuka? Umekuja na lugha zako?
mbona siwasikii we Morinho wenu eti tunaenda kuchukua tena ushindi! nilishasema kunguru kumnyea mtu si shabaa!
Ongea tena na leo!
 
Man City leo tena tunapiga mtu!
eti Barcelona ndo Baba mara Messi sijui ni nini! poa tu ila mjue hatuangalii kama we messi ama neiman!
tutajikaza mpaka kieleweke na wala wajijidanganye watachukua kiulaini!

Man City....we pray for you brooooooooooooooooooooos!

CC;Ntuzu
 
Dogo Mbona hauonekani? Njoo bhana usapoti Uzi wako!
 
Si bora yng mimi kuliko Wewe!
Bora yako wewe kivipi? kwa kifupi pamoja na upungufu wetu hatujalizwa nyingi kiivyo na see ajabu tungesuluhu kwakua mpaka half time tulikuwa tuko bila bila! we subiri timu yenu icheze na Barcelona ndo uje kunirushia mate hapa!
 
City ilipotea hasa yaya pale kiungo kiukweli tactics mlizidiwa
sawa sikatai ila subiri Man U nao wakutane nao ndo uje uongee hapa! timu zako nyingi unazokutana nazo ni wagonjwa zaidi yenu!
 
Back
Top Bottom