kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
Haya pia yalisemwa kwa Barcelona ujue?Unaikumbuka Barsa ilivyokuwa au umesahau?sitaki kujua nani yupo hme nani yupo away lakini hiyo mechi lazima mkae man city yupo onfire chelsea ya mourinho haina uwezowa kumzuia hata kidogo
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums