Manchester City inatoa dozi ya magoli mengi

Manchester City inatoa dozi ya magoli mengi

Acha kuongea kishabiki wewe bila takwimu zozote, Man City imefunga magoli 4 au zaidi katika mechi 18 msimu huu, katika hizo mechi 18 ni mechi 2 tu ndio red card zilitolewa. Ambazo ni mechi dhidi ya Arsenal na Spurs. Sasa ebu niambie kama kweli wewe unajua na unafuatilia soka, timu yenye rekodi ya hii ina itaji msaada wowote wa red card? Acha kuzungumza kishabiki, Man City are playing the best football in the EPL right now, only a fool can reject this obvious fact. Msimu huu pekee Man City imefunga magoli 115 katika mechi 37 still you are trying to compare na Chelsea?

Brooklyn nilizungumzia Swala la Mwamuzi ukaniambia kua naongea kishabiki!

Sasa kasome wavuti ya michezo ya BBC na ya Chelsea habari uone ni namna gani refa anazungumziwa ktk game km hizi! Msome Mourinho mwenyewe!

Mkiambiwa ukweli mnapinga tu! Game km hizi ni vitu vingi sn vinapaswa kuangaliwa! Na waamuzi pia!
 
Last edited by a moderator:
daviey69
Si ulihamia Man City kwasababu ya kutoa dozi? Haya sasa hamia THE BLUES ambaye kakugonga nje ndani nyambaaaafff!! Chezea Mourinho weweeee??

Huyu dogo alikuja na maneno mengi na lugha ambazo sio nzuri alikua anatumia sasa leo sijui atasema nini?

Kulikua na mwenzake Brooklyn na yeye alikua na maelezo mengi sn! Tena walimishambulia sn! Sasa sijui Leo wako na lipi la kusema?
 
huyu jamaa wa Man city;:deadhorse: alikuwa anatutukana leo yuko wapi? hatutaki watu kujifanya Chelsea; mashabiki wa kweli wa Chelsea humu jamvini tunajuana..
 
Tumecheza game 4 kubwa ugenini tumetoka sare 3 na kushinda moja kwa Arsenal. City mmecheza game 2 ugenini kubwa na kufungwa kwa Chelsea na mmeshinda ya spurs!

Mkitia mguu kwa Arsenal na Man Utd na Liverpool Lazima huko mfungwe!
yaani jana kuotea tu ndo useme kuwa tukienda kwao tunapigwa? embu acha utani bana! Analyze vizuri kwenye the next four coming matches kwa Arsenal,chelse na City and Liverpool!
 
wapenda Many city wote msikate msiwaze maana kunguru kutunye.a si shabaa..........
We still Rolling Brooos and Sis!

CC;Ntuzu, Agosti 8 and the late Man united Fans!
 
yaani jana kuotea tu ndo useme kuwa tukienda kwao tunapigwa? embu acha utani bana! Analyze vizuri kwenye the next four coming matches kwa Arsenal,chelse na City and Liverpool!

Mkuu ata kabla ya game ya Jana ulikua unatoa maneno mengi tu! Lkn km uliona vizuri Jana kulikua na makocha wengi wakubwa walikuwepo uwanjani kufatilia game akiwepo Wa Liverpool! Narudia tena! City ktk Kiwanja cha OT na kwa Arsenal na Liverpool Lazima mfungwe!
 
daviey69
Si ulihamia Man City kwasababu ya kutoa dozi? Haya sasa hamia THE BLUES ambaye kakugonga nje ndani nyambaaaafff!! Chezea Mourinho weweeee??
hata kama mngekua the R&B wala hamtishi wala kuwawaza na ushindi wenu kuunga unga!
sikuzote naonaga mnafunga kibahati tu!
 
Mkuu ata kabla ya game ya Jana ulikua unatoa maneno mengi tu! Lkn km uliona vizuri Jana kulikua na makocha wengi wakubwa walikuwepo uwanjani kufatilia game akiwepo Wa Liverpool! Narudia tena! City ktk Kiwanja cha OT na kwa Arsenal na Liverpool Lazima mfungwe!
we ongea man wala sikuwazi najua ni nini tutafanya na tunachokifanyaga!
 
huyu jamaa wa Man city;:deadhorse: alikuwa anatutukana leo yuko wapi? hatutaki watu kujifanya Chelsea; mashabiki wa kweli wa Chelsea humu jamvini tunajuana..

Mkuu tumeongea sn karibu Muda mrefu na siku zote tulisema Tunakwenda kushinda!

Sasa wameona wenyewe! Ni wakati sasa Wa Hazard na Willian Oscar Ramires kua Mastaa wakubwa km Messi au Ronaldo. Na kimya kimya wameanza kuisema Chelsea bingwa Kwasababu ya kumfunga kiboko Yao Mara mbili!

Hongera sn ndugu yng agosti 8 na Mentor na mashabiki wote Wa Chelsea! Tumefanya kz kubwa sn ktk hii mechi!
 
Last edited by a moderator:
Kenge wa man city wakiongozwa na kenge mkubwa daviey69 sasa wapo kimyaaa.Mshika bunduki nipo kileleni.Nyambaf
 
Last edited by a moderator:
we ongea man wala sikuwazi najua ni nini tutafanya na tunachokifanyaga!

Sasa tarehe 15 niko tena kwako na wakati huo huo baada ya siku km 3 ivi Fc Barcelona wanakuja kwako kwa UEFA imefikia hatua wewe kucheza kwa kuchechemea kutokana na ratiba!
 
Kama chelsea wanaweza kucheza vile walivyocheza jana kwenye mechi zote zilizobaki ubingwa wao!arsenal fan
 
Kama chelsea wanaweza kucheza vile walivyocheza jana kwenye mechi zote zilizobaki ubingwa wao!arsenal fan

Bado game 14 ligi iishe! Na Chelsea tuko na vikosi viwili vizuri! Mechi kubwa zimebaki 3. Mbili Za Arsenal na Spurs wanakuja Darajani! Na km umesoma wavuti ya Chelsea wameandika wazi kabisa Kua kazi walioifanya Jana wataifanya kwa Arsenal darajini tena! Pia yuko na game ya Liverpool ugenini! Lkn kwa kiwangi chetu cha Jana na tukiendelea hivyo basi Liverpool tutanfunga kwake!

Kingine Nashukuru mmeanza kututangaza MABINGWA! I like it
 
Sasa tarehe 15 niko tena kwako na wakati huo huo baada ya siku km 3 ivi Fc Barcelona wanakuja kwako kwa UEFA imefikia hatua wewe kucheza kwa kuchechemea kutokana na ratiba!
kumbe unajua why jana tulishindwa mi nilifikiri haujui! hata hivyo bado tuko fresh and strong as mothers milk! will see Broo

CC;Agosti 8
 
Mashuti 3 yaligonga mwamba; msituchezee; pole mkuu wangu daviey69 sisi ndo Chelsea FC

karibu tuimbe the liquidator;

clap clap clap clap
CHELSEA
clap clap clap clap
CHELSEA
clap clap clap clap
CHELSEA
clap clap clap clap
CHELSEA:violin:
wapenda Many city wote msikate msiwaze maana kunguru kutunye.a si shabaa..........
We still Rolling Brooos and Sis!

CC;Ntuzu, Agosti 8 and the late Man united Fans!
 
yes; Chelsea FC the champions;:hail:
Bado game 14 ligi iishe! Na Chelsea tuko na vikosi viwili vizuri! Mechi kubwa zimebaki 3. Mbili Za Arsenal na Spurs wanakuja Darajani! Na km umesoma wavuti ya Chelsea wameandika wazi kabisa Kua kazi walioifanya Jana wataifanya kwa Arsenal darajini tena! Pia yuko na game ya Liverpool ugenini! Lkn kwa kiwangi chetu cha Jana na tukiendelea hivyo basi Liverpool tutanfunga kwake!

Kingine Nashukuru mmeanza kututangaza MABINGWA! I like it
 
Mashuti 3 yaligonga mwamba; msituchezee; pole mkuu wangu daviey69 sisi ndo Chelsea FC

karibu tuimbe the liquidator;

clap clap clap clap
CHELSEA
clap clap clap clap
CHELSEA
clap clap clap clap
CHELSEA
clap clap clap clap
CHELSEA:violin:
kumbe yaligonga mwamba ina maana goli lilikua halionekani?
 
yes; Chelsea FC the champions;:hail:
kweli nimeamini kumbe timu ikiifunga Man City baasi inaona ishachukua Ubingwa!

kama ni hivyo basi Man City inafanya timu zingine na Fans wake wasilale!

Big up Man City...you r hot Broos.....you roll!
 
Back
Top Bottom