Manchester City inatoa dozi ya magoli mengi

Manchester City inatoa dozi ya magoli mengi

Ngoja waarabu waache kutoa hela mbona utapakimbia man city
we kweli ni chizi na i dought your IQ na bussiness knowledge yako!
we timu inafanya vizuri which means income must be going higher, so why in hell ma investor waache kui-invest?
 
Pole jirani.Nimekusoma.Nina hasira sana na hao man shit.Please jirani fanya ulichokifanya traford.
hasira haisaidii tunachojua ni kuwa tarehe tatu chelsea wanakuja getto...guess what? ni honeymooney too!
 
Usijali jirani yng! Nafikiri mziki wetu waujua vizuri! Hawa jamaa ni wepesi sn! Subiri j3 utafurahi! Pale lazima tukawapige palepale!!
kweli mje getto halafu Msivue? we una utani kabisa!
 
Huyo mgeni ktk huu ulimwengu Wa soka!

Ngoja j3 aje aone!
we m...............selaaaaaaaaaaaaa mi sijazaliwa enzi za bi kidude so this is my turn Broooo!
 
we kweli ni chizi na i dought your IQ na bussiness knowledge yako!
we timu inafanya vizuri which means income must be going higher, so why in hell ma investor waache kui-invest?

Acha kuonyesha jinsi usivyo na knowledge ya mpira kwani nani hajui mkataba wa mabilioni wa etihad hawa waarabu wanajidhamini wenyewe kwa mabilioni hivyo wangefuata financial fair play wasingesajili hayo majina makubwa yanayoibeba city
 
***** Chelsea lazima wawafumue marinda wiki ijayo.Washika bunduki tunarudi kileleni punde.
kweli we ni my wife kweli yaani waje getto kiulaiiiini halafu wasivue kweli? mbili washika rungu mnategemea si tushindwe kama nyie kwa timu gani kali ilioko mbele? man u wachumba au chelsea? yaani kuliko niziwaze timu hizi mbili kutushinda labda niiwaze sunderland!
 
we kweli ni chizi na i dought your IQ na bussiness knowledge yako!
we timu inafanya vizuri which means income must be going higher, so why in hell ma investor waache kui-invest?

Mkuu hiyo lugha sio nzuri mbona hata kawaida tu ujumbe ungefika
 
hujui mpira ndio maana..kesho ikianza kupewa kichapo na ikashuka daraja lazima utatafuta team nyingine
timu ntakayotafuta labda Cardiff! lakini si timu zenu za kushangilia kwasababu babu zenu walikua wakishabikia!
 
umenena kabisa,mashabiki wa Chelsea,Man city lazima uwena doubt kidogo kama nimashabiki wa kweli wampira au wale waliopenda mpira sababu company inamfanya awehivyo,mimi na jamaa mpaka kesho ni mnazi wa New Castle United na haumtoi....!!
na wewe ni mnazi wanini? halafu i dought you unamsifiaje mwanaume mwenzio?
 
kweli we ni my wife kweli yaani waje getto kiulaiiiini halafu wasivue kweli? mbili washika rungu mnategemea si tushindwe kama nyie kwa timu gani kali ilioko mbele? man u wachumba au chelsea? yaani kuliko niziwaze timu hizi mbili kutushinda labda niiwaze sunderland!
We kweli man she umesahau kipondo pale gheto darajani kwa mchizi mourinho?Subiri jumatatu ufumuliwe tena we chakula ya waarabu.
 
kweli mje getto halafu Msivue? we una utani kabisa!

Unachekesha! Baba yako Pellegrine halali alafu wewe unatupigia kelele hapa kwa hoja za hangover!

J3 mtakimbia hapa!
 
nani kanibadilishia kichwa cha habari aghhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
umenena kabisa,mashabiki wa Chelsea,Man city lazima uwena doubt kidogo kama nimashabiki wa kweli wampira au wale waliopenda mpira sababu company inamfanya awehivyo,mimi na jamaa mpaka kesho ni mnazi wa New Castle United na haumtoi....!!

kwani man city imeanzishwa lini pia unafikiri haina wazee.mpira ni burudani bwana wacha wtu waburudike nafsi inapotaka,msisingizie ya jana kama mmeanza kufatilia mpira juzi acha wanaofatilia leo wainjoi,mbona daimond ameanza kuimba miaka hii hadi wazee wanampenda nahisi we ndio walee wakujinyonga inabidi mtupongeze tuuuu
 
Wewe ni mshabiki wa mpra wa jana, maana Man City wamekuja tu jana.Kwa hiyo hujui utamu wa mpira ndiyo kwanza unaingia kwenye ulimwengu wa soka

Mkuu huo ni ushamba. Nimewasikia mashabiki wengi wa Man United, Arsenal na Liverpool wakiwabeza mashabiki wa Man City kwa kejeli nyiiingi kama vile eti mashabiki uchwara, mashabiki wa jana, sijui mara wamefuata mafanikio tu, mara ooh kabla mlikuwa timu gani.....maneno mengi mbofu mbofu. Kwani wewe kama ni mshabiki wa Man United au Arsenal toka mwanzo wa dunia ina kuuma nini mtu akijitambulishakuwa mshabiki wa Man City? Kwa taarifa yako hata wewe kuna siku ambayo ulianzia kuipenda hiyo timu unayoishabikia leo. Kila kitu kina mwanzo mkuu.....stop being a hater. Kwenye michezo, timu yoyote inayofanya vizuri ni wazi itaanza kujenga fan base... Ina maana niogope kujitambulisha kuwa mimi ni mshabiki wa Mbeya City au Azam? Kisa utakuja kunikebehi eti mimi ni mshabiki uchwara? Mpira nimeujua jana? Waachane jamani mashabiki wa Man City waendelee kufurahia kiwango bora cha timu yao kwa sasa huku wakiendelea kutoa dozi nene kwa wapinzani wao kila kukicha. Hongereni Man City kwa kucheza soka zuri na la kuvutia....Ndo maana katika mitaa ya hapa Dar jezi za Man City zimeanza kuwa nyingi kuliko za Liverpool hahahahah!
 
Usijali jirani yng! Nafikiri mziki wetu waujua vizuri! Hawa jamaa ni wepesi sn! Subiri j3 utafurahi! Pale lazima tukawapige palepale!!
Mkuu me naona unajipa moyo tu lakini ukweli wewe mwenyewe unaujua. Kwakweli mimi sio mshabiki wa City lakini kwasasa siioni timu ya kuidhamini inapokutana na City.
 
Jamani City hawawezekani labda wacheze na timu kutoka mbinguni lakini sio hivi vitimu vyetu vya BPL. Jana kunajamaa nilimtia njaa ya 25,000 nilimwambia City inashinda goli zaidi ya tatu jamaa akabisha kwa kuweka dau, mwisho wa mchezo kilamtu aliniona kama nina ilizi vile. Ogopa sana mtu mwenye pesa.
 
Mkuu me naona unajipa moyo tu lakini ukweli wewe mwenyewe unaujua. Kwakweli mimi sio mshabiki wa City lakini kwasasa siioni timu ya kuidhamini inapokutana na City.

Mkuu hili ndio jukwaa letu ambalo twakutana Mara zote!

Wewe j4 naomba Uje Na hoja zako!

Nasema hivi! Km mwaamuzi akiwa Fair na kusiktokee Kadi nyekundu km jana au Penalty! Basi kushinda city haiwezekani! Lazima wapigwe tu!
 
Back
Top Bottom