Manchester City inatoa dozi ya magoli mengi

daviey69

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2013
Posts
2,234
Reaction score
873
habari JF wote na wapenda Man city woooooooooooote....Kweli Man City wananifanya nijisikie fresh each day they play?
Sidhani kama wana mpinzani......!
 
na Chelsea tarehe 3 ni honey moon tu............
 
habari JF wote na wapenda Man city woooooooooooote....Kweli Man City wananifanya nijisikie fresh each day they play?
Sidhani kama wana mpinzani......!
Wewe ni mshabiki wa mpra wa jana, maana Man City wamekuja tu jana.Kwa hiyo hujui utamu wa mpira ndiyo kwanza unaingia kwenye ulimwengu wa soka
 
halafu utamu wa mpira si kufunga au kuna utamu gani mwingine!
halfu we lazima utakuwa ni wale wafanyakazi wanaojifanya wanapendwa na Boss kwa kupeleka umbea.
 
Wewe ni mshabiki wa mpra wa jana, maana Man City wamekuja tu jana.Kwa hiyo hujui utamu wa mpira ndiyo kwanza unaingia kwenye ulimwengu wa soka
halafu pia nimesahau utakuwa lazima wewe ni mzaramo......................!
 
Wewe ni mshabiki wa mpra wa jana, maana Man City wamekuja tu jana.Kwa hiyo hujui utamu wa mpira ndiyo kwanza unaingia kwenye ulimwengu wa soka

umenena kabisa,mashabiki wa Chelsea,Man city lazima uwena doubt kidogo kama nimashabiki wa kweli wampira au wale waliopenda mpira sababu company inamfanya awehivyo,mimi na jamaa mpaka kesho ni mnazi wa New Castle United na haumtoi....!!
 
***** Chelsea lazima wawafumue marinda wiki ijayo.Washika bunduki tunarudi kileleni punde.
 
Wewe ni mshabiki wa mpra wa jana, maana Man City wamekuja tu jana.Kwa hiyo hujui utamu wa mpira ndiyo kwanza unaingia kwenye ulimwengu wa soka

Huyo mgeni ktk huu ulimwengu Wa soka!

Ngoja j3 aje aone!
 
hii timu mi naiombe a mazuri... ni timu ambayo binafsi naiona inajituma sana!

go go go go go THE CITIZENS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Siku hiyo itakua turn turn turn THE VILLAGENS!!!!!!!!!!!!!!!
 
Pole jirani.Nimekusoma.Nina hasira sana na hao man shit.Please jirani fanya ulichokifanya traford.

Usijali jirani yng! Nafikiri mziki wetu waujua vizuri! Hawa jamaa ni wepesi sn! Subiri j3 utafurahi! Pale lazima tukawapige palepale!!
 
umenena kabisa,mashabiki wa Chelsea,Man city lazima uwena doubt kidogo kama nimashabiki wa kweli wampira au wale waliopenda mpira sababu company inamfanya awehivyo,mimi na jamaa mpaka kesho ni mnazi wa New Castle United na haumtoi....!!

Kama ambavyo mi nakufa na Liverpool yangu.
 
Back
Top Bottom