Manchester City inatoa dozi ya magoli mengi

Ata Jana km si red card kwa spurs shughuli mngeiona! Ndo maana kwa sisi tunaojua mpira tunatahazarisha kabisa ya kwamba game ikiwa Fair lazima mpigwe city!
Fair ni nini? kumbe hata makocha wanatupenda?
 
Mkuu hili ndio jukwaa letu ambalo twakutana Mara zote!

Wewe j4 naomba Uje Na hoja zako!

Nasema hivi! Km mwaamuzi akiwa Fair na kusiktokee Kadi nyekundu km jana au Penalty! Basi kushinda city haiwezekani! Lazima wapigwe tu!
Unamaana gani unaposema refa awe fair? Unamaanisha City inasonga kwa mbeleko ya marefa? Alafu hiyo J/4 nakuomba wewe uzuie sare tu.
 
Mkuu Km ni mfatiliaji Wa mpira ktk big game Km mwamuzi akiwa mzuri basi game hupendeza kabisa!

Lkn akiwa hovyo basi kila kitu hua hovyo! Angalia game zote kubwa za Man city uangalie na maamuzi ya marefa utapata Jibu!

Kwa mfano ile Jana haikupaswa kua Red Card kwa mchezaji Wa Spurs! Unafikiri wangekua 11 nini kingetokea kwa city ata km walikua wanaongoza?
 
Tulia upate dozi kijana, inaonekana humjui Mourinho "THE SPECIAL ONE" wewe, waulize Man U kilichowakuta! Ha ha haaaa Labda mpaki basi kama la WEST HAM jana.
Kwani ungewatolea mfano liver pool ungekosea nini? Tuacheni na United yetu Jamani.
 
Mkuu Km ni mfatiliaji Wa mpira ktk big game Km mwamuzi akiwa mzuri basi game hupendeza kabisa!

Lkn akiwa hovyo basi kila kitu hua hovyo! Angalia game zote kubwa za Man city uangalie na maamuzi ya marefa utapata Jibu!

Kwa mfano ile Jana haikupaswa kua Red Card kwa mchezaji Wa Spurs! Unafikiri wangekua 11 nini kingetokea kwa city ata km walikua wanaongoza?

Acha kuongea kishabiki wewe bila takwimu zozote, Man City imefunga magoli 4 au zaidi katika mechi 18 msimu huu, katika hizo mechi 18 ni mechi 2 tu ndio red card zilitolewa. Ambazo ni mechi dhidi ya Arsenal na Spurs. Sasa ebu niambie kama kweli wewe unajua na unafuatilia soka, timu yenye rekodi ya hii ina itaji msaada wowote wa red card? Acha kuzungumza kishabiki, Man City are playing the best football in the EPL right now, only a fool can reject this obvious fact. Msimu huu pekee Man City imefunga magoli 115 katika mechi 37 still you are trying to compare na Chelsea?
 
Mkuu kwa kukuongezea tu, takwimu katika msimu huu zinaonyesha striking force ya Man City (Aguero, negredo na Dzeko) wamefunga jumla ya magoli 66 wakati striking force ya Chelsea (Etoo, Torres na Ba) wamefunga magoli 15. Je kwa statistics hizi bado unasema marefa wanaibeba City? Huo ndo ukweli ulivyo ingawa ni mchungu. Hata huyo mnaemwita "The Special One" siku hizi halitaki hata hilo jina siku hizi, umejiuliza kwanini?
 
Acha kuongea kishabiki wewe bila takwimu zozote, Man City imefunga magoli 4 au zaidi katika mechi 18 msimu huu, katika hizo mechi 18 ni mechi 2 tu ndio red card zilitolewa. Ambazo ni mechi dhidi ya Arsenal na Spurs. Sasa ebu niambie kama kweli wewe unajua na unafuatilia soka, timu yenye rekodi ya hii ina itaji msaada wowote wa red card? Acha kuzungumza kishabiki, Man City are playing the best football in the EPL right now, only a fool can reject this obvious fact. Msimu huu pekee Man City imefunga magoli 115 katika mechi 37 still you are trying to compare na Chelsea?

Sasa hizo red card kwa Arsenal na Spurs ndo zenye mazara hasa kwa big game!

Usiongee sn Subiri j3 then ukuje hapa jamvini na hayo maneno yako!
 
Mkuu kwa kukuongezea tu, takwimu katika msimu huu zinaonyesha striking force ya Man City (Aguero, negredo na Dzeko) wamefunga jumla ya magoli 64 wakati striking force ya Chelsea (Etoo, Torres na Ba) wamefunga magoli 17. Je kwa statistics hizi bado unasema marefa wanaibeba City? Huo ndo ukweli ulivyo ingawa ni mchungu. Hata huyo mnaemwita "The Special One" siku hizi halitaki hata hilo jina siku hizi, umejiuliza kwanini?

Nakuambia hivi! Aguero, Negredo, Dzeko, Na viungo wote wanaowasaidia hauto waona siku hiyo!

Kikubwa ni point sio wingi Wa magoli!

Ushinde Goli kumi na Mimi nashinda Goli moja wote tunapata point Tatu! Na pia kumbe haumfahamu Mourinho!

Mourinho sio mtu Wa kufunga magoli mengi!

Narudia tena, macho ya ulimwengu yako kwa Chelsea kua itakuaje Etihad? Kaa usubiri, Utakimbia hapa jamvini na Takwimu zako!
 
Unafikiri kwanini "macho ya ulimwengu" yapo kwa Chelsea on their trip to hell (Etihad)? Ni kwa sababu ya hiyo striking force mkuu. Hata Mourinho mwenyewe anaweweseka sasa hivi, nam quote.... Mourinho said: "For how many months have I said the same thing? For me, it's not a surprise how well City are doing. Are they favourites? Yes. Are they favourites to score again four, five, six goals? Yes. But it's 0-0 now and we go there to compete."
 
Unafikiri kwanini "macho ya ulimwengu" yapo kwa Chelsea on their trip to hell (Etihad)? Ni kwa sababu ya hiyo striking force mkuu. Hata Mourinho mwenyewe anaweweseka sasa hivi, nam quote.... Mourinho said: “For how many months have I said the same thing? For me, it’s not a surprise how well City are doing. Are they favourites? Yes. Are they favourites to score again four, five, six goals? Yes. But it’s 0-0 now and we go there to compete.”

Bado kumbe humuelewi Mourinho na maneno yake?! Utakuja kumuona na kumuelewa siku akiwa Etihad!

Nafurahi sn kuona Mou ulimwengu unamuangalia kwa sasa km mtu atakaepeleka upinzani Etihad huku akiwa ameshinda game yake ya kwanza Darajani!
 
Mkuu Brooklyn game hii inanikumbusha game za Chelsea na Barcelona miaka ile!

Kaa utulie Uje uone mkakati!
 
Last edited by a moderator:
We as Chelsea we know exactly wht we are going to do on Monday game!
 
Acha kuongea kishabiki wewe bila takwimu zozote, Man City imefunga magoli 4 au zaidi katika mechi 18 msimu huu, katika hizo mechi 18 ni mechi 2 tu ndio red card zilitolewa. Ambazo ni mechi dhidi ya Arsenal na Spurs. Sasa ebu niambie kama kweli wewe unajua na unafuatilia soka, timu yenye rekodi ya hii ina itaji msaada wowote wa red card? Acha kuzungumza kishabiki, Man City are playing the best football in the EPL right now, only a fool can reject this obvious fact. Msimu huu pekee Man City imefunga magoli 115 katika mechi 37 still you are trying to compare na Chelsea?

kombe lenu msimu huu sioni wa kuwasimamisha.
 
We as Chelsea we know exactly wht we are going to do on Monday game!

sitaki kujua nani yupo hme nani yupo away lakini hiyo mechi lazima mkae man city yupo onfire chelsea ya mourinho haina uwezowa kumzuia hata kidogo
 
Napata raha jamani kwsababu Leo ni ijumaa bado kesho jmosi na j2! J3 mapema nasongea kwa tv kupata raha!

Chelsea we know what to do! Iwe ugenini au nyumbani!

Tunakwenda kufanya kile ulimwengu hautegemei!
Kumbukeni mechi za Barcelona jamani!
 
Back
Top Bottom