tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,038
Mkurugenzi wa manara tv na diwani mteule wa kata ya Kariakoo Hajj Manara leo November 19, 2025 ameeleza wazi namna alivyojipanga kukabliana na changamoto zinazowakabiri wanakazi wa kata ya Kariakoo ikiwemo changamoto ya uhifadhiji wa maji taka yanachafua hali ya hewa ndani ya kata hiyo
Huku akiongeza kuwataka DAWASA wajiandae kuja na majibu kamili juu ya chemba za maji taka kutofanyiwa kazi kwasababu zinazidi kuwa kero wa wananchi wa kata hiyo.
Huku akiongeza kuwataka DAWASA wajiandae kuja na majibu kamili juu ya chemba za maji taka kutofanyiwa kazi kwasababu zinazidi kuwa kero wa wananchi wa kata hiyo.