Manara limemkuta jambo

Kabisa hakuna adui mbaya kama mnafiki
 
Mimi ningefurahi kama amemtukana "chura kiziwi" aka "ajuza wa zenji"
 
Sasa kadhalilikaje kazi ya mwanamke si kukazwa nini cha ajabu hapo
 
Ana uchafu gani
Wee mwenzio manara kaomba radhi huko, hapa unatetea na hamna, km angejua yeye mshindi mbna analalama kuhusu Zai? Afu sasa takadini akae ajue ana maadui wengi hatarii.

Niliwahi kuwa kwenye chimbo fulani, na kuna watu wako karibu nae, jinsi walivyokua wana mzungumzia, hadi nlikua nachoka, najiuliza anajifaragua mtandaoni kumbe ni buree kabisaa.

Ni km alivyo sema zai, angetaka kumuumbua bas ni zaidi ya hivi, akae atulie, jitu linafiki hili, tatizo njaa, ndo maana alitakaa kumpindua mwenzie kwa Gavana, aka kataliwa, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nisiseme sanaaa, woiiiiiih. Watu walimkataa na ile ngozi yake ina ubaridii. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Baambie baambie baeleewee...
 
Takadini na Kibichwa character zao zinafanania mno. Especially when it comes to hypocrisy.
 
Toa hizo password πŸ”‘ paragraph ya mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…