Na hyo habari ya Manara kailipia pesa ndefu mpk kuipata...
Ni hivi mtu anaenda inbox anamwambia nina mzigo wa mtu fulani exclusive...nkupe unipe mshiko...Mange anauthaminisha kama utampa returns kubwa anampa na yeye hela kubwa...
Kwahyo watu wawe makini mnoo siku hz na simu zao na watu waliokaribu nao wakati wanafanya mambo ya hovyo