Manara limemkuta jambo

Kwa kweli semaji inabidi mmtolee tamko kali sana. Haiwezekani kukashifu wake wa maboss wa club halafu mkamuacha tu
Hiviii. Hiyo Signature yako uliwaza nini eti? 😀 😀

Inatafakarisha ujue. lol.

Kwa kweli semaji inabidi mmtolee tamko kali sana. Haiwezekani kukashifu wake wa maboss wa club halafu mkamuacha tu

Kabisa yaani Mwasibu hatutamwacha lipite kwani alishajisahau na safari hii kazi anayo mana na upande wa pili ameyakanyaga kwa mtoto wa Mbagala ambaye hataki Manara ajichukulie points kirahisi anamsuuza vilivyo kwa vichambo na maneno ya kejeli mpaka akili imkae sawa akome.
 
Shetani ni mwanamke, mwanamke mwenye utii hawezi kusema mambo ya ndani ya ndoa, angekaa kimya...
Wanawake kama wewe huwa tunawaita Male-centered women. Au “pick me” type of women.

Kwa case yoyote ya Manara na mwanamke yeyote huwezi kumuondoa manara kwenye ushetani.

Wapi kwanza Zay amesema mambo ya ndani ya ndoa? Are you even a woman.
 
Kwanza kwa uswahili wa zai naona bado hajamchamba vizuri huyo zungu, kamstahi sana mpaka sasa, huyo zungu asipojishusha akanyamaza huyo binti atamvua nguo na atapotea mjini na kwa umri wake ndo itakuwa imebaki story
 
Shangaa na wewe!

Manara ni mtu hovyo, unapataje nguvu ya kumtetea. Tena mwanamke!
 
Manara ashamvua huyo zai kyupi na kukuona kabisa uvungu mwekundu Kwa ndani na uchafu uliomo
Hapo Zai ashalamba Koni ya Manara
Zai ashakunama dog style Kwa Manara
Kwa kifupi zai ni takataka mbele ya Manara
Najivunia kuwa mwanaume
Mama na dada zako tunafanya hayo pia, Tena na jingine hujalitaja
 
Anadhalilikaje wkt tunapenda?
Hiyo ni starehe yetu
Hata mama yako akiikosa hii starehe kwa baba yako atamhonga hata shamba boy

Ingekuwa zaly mwanaume hapo sawa ungesema anadhalilika
 
Kibopa utakuwaje na ukaribu wa ndani na watu wa namna hii, kibopa gani Hana mipaka.
 
Wanawake kama wewe huwa tunawaita Male-centered women. Au “pick me” type of women.

Kwa case yoyote ya Manara na mwanamke yeyote huwezi kumuondoa manara kwenye ushetani.

Wapi kwanza Zay amesema mambo ya ndani ya ndoa? Are you even a woman.
🤣🤣🤣 hii tunaita “kumkoma nyani giradi!”

RIP Lemubebez.
 
Ilibidi nichimbe zaidi kujua kwann suala km hili litokee?,kumbe Manara anlimtumia diamond kumfungulia kesi Mange kimambi huko US,dada anakuambia lipoteza karibia dola elfu 10,kwenye kesi tu,dada aliapa kulasahani moja nao,ndio maana Mange hakuwaza mara 2 alipopata hizo click na siwezi shangaa yeye Mangi ndio ametuma watu wafanye hivyo,kweli muosha huoshwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…