Manara limemkuta jambo

Exactly 100 nae zungu angepumzika nae kumtafutia yule bidada number za nida ndio ana msimanga lol sie wanaume tuna dhambi mno πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜€
Nilicheka eti ulikua hauna Nida..what the hell is Nida....bora passport unaweza msimangia mtu na si kihivyo kwa sbb unaweza kuitafuta na kuipata
 
Nilicheka eti ulikua hauna Nida..what the hell is Nida....bora passport unaweza msimangia mtu na si kihivyo kwa sbb unaweza kuitafuta na kuipata
Zungu miyeyusho sana afu mkorofi mno aliwahi kugombana na wahudumu wa VIBE LOUNGE & VELVET NIGHT CLUB Sinza Africa sana pale siku ile nilicheka sanaπŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Zungu miyeyusho sana afu mkorofi mno aliwahi kugombana na wahudumu wa VIBE LOUNGE & VELVET NIGHT CLUB Sinza Africa sana pale siku ile nilicheka sanaπŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kuna siku kulikua na mechi ya Simba na dodoma jiji enzi zile msemaji wa Simba sasa mimi nilikua zangu hapo hotel ya African dream usiku usiku hivi na yeye akawepo nikawa namuona yupo busy na simu yake nadhani walikorofishana na wenzie wa Simba maana alikua peke yake ana jazba tuu kwa kumwangalia anaangalia post na kufyonya..nikasema mhh huyu mtu sijui kwakweli...
 
Ni mkorofi sana yule jamaa
 
Si uliona aliyoyapitia? Kwani hujasoma biblia? Dhambi ya uzinzi inakupa haki ya kuachana na mke au mumeo
Mathayo 7:6 ina sema msiwatupie mbwa Lulu zenu wasije wakazinyaga na nguruwe kuziralua

Kanisa lilimtupia huyu nguruwe lulu ya NDOA
 
Mathayo 7:6 ina sema msiwatupie mbwa Lulu zenu wasije wakazinyaga na nguruwe kuziralua

Kanisa lilimtupia huyu nguruwe lulu ya NDOA
Sawa. Ngoja siku nije kumuoa mama yako labda utapata heshima kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…