Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,036
- 20,337
- Thread starter
- #61
Naona anataka kuteka mitandaoni ili wamzingatie tu.Ataishitaki kwa minajili ipi? Yeye alikuwa Kibarua tu. Alipolialia akapewa option asainishwe 4m kwa mwezi ila asifanye mikataba kokote kule akaona ngoma ngumu akaendelea kupokea posho!
Sasa leo hii anapata wapi nguvu za kuishtaki Simba?