Chungwa mm ninayo kutoka masasi je unayata bei 200.Nakushukuru 🙏🏽🙏🏽
Na machungwa je?
Utaweza shiringi ngap na upo wapi kama itawezekana mm nikusafilishieBei hyo siiwezi, pia npo mbali na ulipo.
Yy auze sh ngp kushindana na bei ya 100 na 50 yaliyosfirishwa hadi Temeke stereo?Chungwa mm ninayo kutoka masasi je unayata bei 200.
Hiyo ni muheza nilipita njiani hapo nikanunua.Wapi huko huko wanauza kwa bei hyo?
Aanha… angalau umenipa mwanga ndugu.Kwa sasa bei ya machungwa juu ya mti shambani ni Tsh 25 mpaka 30 ukija ukiweka gharama za uchumaji inafika mpaka 35 ila ikifika mwezi wa 8 hua bei zinapanda kwa kasi na kuna kipindi bei zinafika mpaka Tsh 100 kwa chungwa juu ya mti