Mimi huku nilipo nimeona maeneo mengi ya wafanyabiashara wa mananasi wanauza na kutoa maganda ya mananasi kuwapa wateja kwa wanaoomba.
Ila nimeona wateja wengi ni wakike wanasema maganda ya mananasi yanatibu U.T.I kama ukichemsha na kunywa maji yake.
Je, kuna ukweli wowote U.T.I inaondolewa...
Mashamba kwa ajili ya kilimo cha Nanasi/mahindi/migomba nk yanapatikana,Bago,kiwangwa na Talawanda..Na mashamba pori yanapatikana pia.
Bei rafiki. .Simu 0626431257
Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽
Kwa anayefahamu bei ya jumla ya MANANASI na MACHUNGWA kutoka kwa wakulima wa KIWANGWA- CHALINZE naomba anijuze.
Natanguliza shukrani 🙏🏽🙏🏽
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.