Hao ni wale manabii wa uongo waliotabiriwa kwenye Bible takatifu
Jr
Utashangaa Mkristo povu zito linamtoka kuwatetea hawa wezi. Kusoma maandiko ni muhimu sn kabla ya kuelekeza macho na maskio kwa hawa manabii wa kisasa ili tuweze kuwapima. La sivyo !watu watapigwa sn
Sent using Jamii Forums mobile app
YESU hajawahi toza ada kuwafunza mitume hudumaMathayo 10:8 inasema,
,"Pozeni wagonjwa,fufueni wafu,takaseni wenye ukoma,toeni pepo,mmepata BURE,toeni BURE".
Yale yale.Kwa hiyo hizo huduma zingine hazina gharama?Tumia akili kidogo tu kama punje ya haradali. Ukienda kusoma bure hapo chuoni, anayekufundisha awe ombaomba? Majengo yatajengwa bure, au unataka wasomee chini ya miembe?.
Na Mwamposya gharama za kukodi kumbi na viwanja na miundo mbinu unataka alipe nani ikiwemo Gharama za TV na radio?Hapa ndugu zangu kuna kuchanganya mambo,chuo kimejengwa,miundo mbinu imewekwa,umeme,maji,waalimu,harafu usome bure,hizi bill analipa nani,maji,umeme,chakula!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndivyo Yesu alivyoagiza?Hapa ndugu zangu kuna kuchanganya mambo,chuo kimejengwa,miundo mbinu imewekwa,umeme,maji,waalimu,harafu usome bure,hizi bill analipa nani,maji,umeme,chakula!
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Mwamposya gharama za kukodi kumbi na viwanja na miundo mbinu unataka alipe nani ikiwemo Gharama za TV na radio?
Mwamposya mwache kwanza karibu upokee baraka kwa padri huyu mzunguMungu alipokua anagiza alijua tv zipo na kumbi zipo. Lakini pia hakusema ni lazma kuhubiri kupitia redio na Tv. Mungu angeruhusu visingizio hakuna mtu ambae angetenda zambi kwani hata changudoa anasababu ya kujitetea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwamposya mwache kwanza karibu upokee baraka kwa padri huyu mzungu
Mathayo 10:8 inasema,
,"Pozeni wagonjwa,fufueni wafu,takaseni wenye ukoma,toeni pepo,mmepata BURE,toeni BURE".
Hv km kweli maono yenu ya unabii na utume mlipewa na Mungu,je mlimlipa Mungu Sh. ngapi? Ni dhahiri mlipewa bure kabisa, sasa kwanini nyie mnawauzia hao aliowatuma kuwaponya na kuwaokoa? Ni wazi kuwa huyu Mungu wa Mathayo 10:8 sio aliewatuma. Km angekua yeye ndo kawatuma mngelitii neno lake.
Huku Iringa Nabii Boaz anauza keki ya upako,Mwamposa anauza mafuta ya upako, Nabii Suguye anauza Stika za picha yake, n.k Nawaambia hata km mnalitaja neno la Mungu namna gani,hata km mnafungisha watu ndoa,hata km mnaombea na kuponya watu kwa nguvu zenu, siku ya mwisho mtachomwa moto kwa kuenenda kinyume na maagizo yake. Mathayo 10:8 itawahukumu. Endeleeni kujifanya wajanja Mungu anawaona!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo hao manabii hawajapewa bure unakuta na wao walinunua kwa gharama uko Nigeria