Manabii wauza Mafuta ya upako hili neno hamlijui?

Na Mwamposya gharama za kukodi kumbi na viwanja na miundo mbinu unataka alipe nani ikiwemo Gharama za TV na radio?
Hizo gharama zinaweza kutoka kwenye sadaka na zaka ambayo waumini wake wanatoa. Lakini si kwa staili ya kuwauzia watu maji ya upako, mafuta, vitambaa n.k....yaani hivyo vitu ambavyo vinasemekana vina upako na vinaweza kuwasaidia waumini havitakiwi kuuzwa. Wapewe bure, maana karama ya Mungu haiuzwi. It is freelly given.

Na pia usichanganye suala la mtu kwenda kusomea elimu ya uchungaji, upadri kwa kulipa gharama ya mafunzo hayo na mtu anayeuzia waumini maji au vitu vya upako....

Hata ministry ya Yesu na wanafunzi wake walichangiwa fedha za matumizi na watu hasa wanawake...fedha hizo zilikuwa ni za kugharamia mahitaji yao ktk huduma. Na fedha zilitunzwa na Yuda Iskariote.

Wakati wa agano la kale Walawi walipata namna ya kuishi kupitia matoleo ya waumini wengine. Hivyo hata leo unapoamua kwenda kusoma huo uchungaji ktk vyuo...lazima kutakuwa na gharama za hayo mafunzo, yaani gharama za wewe kukaa chuoni ukisoma, gharama za kufanikisha miundombinu chuoni ili wewe usome..(ada)

Ukitaka iwe free kabisa, basi gharama za wewe kusoma na za kuwalipa waalimu wako(maana ndiyo kazi yao ya kila siku) zitoke kwenye source nyingine either kanisani...so haitakuwa free someone has to pay for it.

So ile ada haipokelewi as some sort of business as if wamekuuzia elimu ya kumjua Mungu....rather it is for service. Wakati wa Eliya, Elisha na Samuel kulikuwa na shule za manabii...unadhani hao waliokuwa kwenye hizo shule waliishije? Nani aligharimia matumizi yao wawapo shuleni? Je waliishi bure, if Yes nani aliwapa mahitaji?

Angalia usiwe kama yule Simon mchawi aliyewaomba kina Petro wamuuzie uwezo wa Mungu ili awaponye watu...

Petro alimjibu hivi..."...Lakini Petro akamjibu, “Potelea mbali na fedha zako kwa vile unafikiri kwamba unaweza kununua karama ya Mungu kwa fedha!" Matendo 8:20.

Sasa ikiwa karama ya Mungu hainunuliwi kwa fedha kwa nini wewe mtumishi wa Mungu uwauzie waumini ulinzi wa Mungu kwa fedha?
 
Daaaa! you have spoken a naked truth. Yaani shida watu wanataka kulazimisha maandiko yawe vile wanavyotaka wao sio vile Mungu anavyotaka. And it will cost them to HELL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
True...Yesu au wanafunzi wake hawakuwahi kuwauzia watu huduma walizokuwa wanatoa...walitoa bure.

Kama vitambaa, maji mafuta yanaweza kuwekewa upako wa nguvu za Mungu basi waumini waje na vitu hivyo viombewe...nguvu ya Mungu, uwepo wa Mungu hauwezi kuuzwa au kununuliwa kwa fedha ya kiwango chochote kile.

Hiyo ni neema ya Mungu, tumepewa bure, sisi kazi yetu ni kuikubali tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom