evansGREATDeal
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 4,013
- 2,335
nimeuliza hivyo sababu ni watu wawili tofauti kabisa,...Ndugu, Ufalme wa Mungu unajengwa kupitia Yesu Kristo.
Ukisema wewe ni Mkatoliki na ukasema unamuelewa Mungu utakuwa unajidanganya na ukweli hautakuwa ndani yako...
Kuna baadhi ya madhehebu yana moja kati ya vipande vya mwili wa Yesu na Damu yake... Mfano katoliki, rutheran, sabatho, waislamu n.k
Hawa wote wana vipande vipande.
Kwa MTU anayeutafuta USO wa Mungu kweli , ni lazima akusanye vipande vyote ili ukweli umuweke Huru. Sio kung'ang'ania dini moja na kisha unaanza kuhukumu watu vibaya pasipo kuwa na Imani au uhakika na unachosema.
Hivyo, basi, ninaelewa kwanini umeniuliza swali hilo! Lakini nakwambia kweli, Ni vigumu sana Mwanadamu kuingia mbinguni bila kupitia njia ya Msalaba ( katika Kristo Yesu)
hujajibu,.biblia ni andiko au neno la MUNGU??????Neno la Mungu ni Taa, Andiko ni Giza. Hivyo basi, ili iweze kusoma andiko, na kuona kilichomo, ni lazima kwanza ukubali kuwa na chongo. Then, hilo jicho moja la kulia linalobaki , lazima litahiriwe,
Hapo ndipo mwanga kutoka kwenye jicho lako utatokea na kulimulika andiko vizuri. Hatua hii itakufanya kuliona neno la Mungu vyema.
Kumbuka, andiko pekee, linaua na ni msingi Mkuu wa kutenda dhambi. Ila neno la Mungu linakupa uzima wa milele.
Andiko ( Hisia) ni rahisi sana kupotea, lakini neno la Mungu ( Uhalisia) litasimama milele.
hujajibu,.biblia ni andiko au neno la MUNGU??????
Ndugu, awali yote napenda kukueleza kuwa Mimi ni Kijana ninaye Muabudu na kumsujudia Mungu muumba wa ardhi na bahari katika Kristo Yesu.n
nimeuliza hivyo sababu ni watu wawili tofauti kabisa,...
pili nimeuliza hivyo sababu katoliki huwa mnaishi kwa kukalilishwa mapokeo ni tofauti na walokole ,.....mapokeo na kukalili ni vitu vinavyokuweka mbali na Mungu.,.maana hutamwabudu MUNGU kutoka moyoni ila utakalili na kuishi ya udini,...na huku uko mbali na MUNGU,...
Mungu yupo njiani kuwaleta vijana wake, ambao watawafumbua macho kwa mambo mengiWatasema hizo ni baraka za bwana.
Na haleluyah nyingi sana.
We huoni Gwajima anavyo wafanya?
Jamaa anatembelea Hammer ya milion 200 wakati watoa sadaka hata bajaji hawana.
Siku Kondoo wakija shtuka wachungaji wataingia mitini wote lkn hilo haliwezi kutokea.
Nabii hawezi kumuondelea MTU dhambi; Kristo anaweza.Hawa wote ni WEZI TU.
Unabii wamepewa na Nani hawa matapeli?
Halafu Kondoo walivyo na busara ndogo wanawapigia magoti na kuwaomba wawasamehe madhambi yao.
Yaani kondoo ni kondoo tu.
Nabii anavaa Jeans na mkewe Mini skirts?
Nabii hawezi kumuondelea MTU dhambi; Kristo anaweza.
Nabii anaweza kumuondelea MTU dhambi iwapo atapata Power na Authority kutoka kwa Yesu Kristo, ambae ndiye Bwana wa Mabwana.
Si kila mtu anayezaliwa na mwanamke ni mwanamme. Unaweza kuzaliwa mwanamme kwa umbo lakini kiuhalisia ni mwanamke.Nami nataka kujua hii.
Ndugu, kuhubiri au kufanya jambo lolote pasipo Upendo ni dhambi. Maana yake ni kwamba, jambo linalofanywa pasipo Upendo haliwezi kumpa MTU prosperity wala success.TheMeek Na vCTRMA mmeandika mengi mazito ambapo wengi tunajifunza!
Lakini Je ni dhambi gani mhubiri Angel Na Makandiwa kuwataja wachache wao ambacho anadhani hawatend vema mpaka tukawahukumu kwa maneno yetu?
Kati ya watumishi wa aina yao, hawa ndio nawaona wanahubiri sana kwa kufanya references kwenye biblia. Uvaaji wao, fahari walizonazo as long as wamezipata ktk njia sahihi sioni tatizo!
Tujifunze pia Kuwa zama zinabadilika Na hivyo hata njia ya uonekano Na utoaji wa ujumbe wa neno la Mungu hubadilika kutokana Na audience Na wakati pia.
Huwezi kwa zama hizi ukaevaa kama marehemu Kolola Moses ukapata kumbadilisha MTU kama shishi baby!
Asante kwa ufafanuziSi kila mtu anayezaliwa na mwanamke ni mwanamme. Unaweza kuzaliwa mwanamme kwa umbo lakini kiuhalisia ni mwanamke.
Kuna mifano ya watu waliozaliwa wanamme katika Biblia, mfano Yesu Kristo, Yohana Mbatizaji, n.k ... Mwingine alikua Jeremiah ( huyu alitakaswa kuwa mwanamme akiwa tumboni mwa Mama yake )
Nataka kusema hivi, kuna MANABII wanazaliwa kutoka Mbinguni , wakifika hapa lazima wajifunze neno la Mungu kwa kupitia wachungaji ambao tayari Mungu anakuwa amewaandaa katika Maisha yao kwa ajili ya kuwaendeleza kiroho.
MANABII wengine , hupatikana kwa njia ya Utiifu na unyenyekevu baada ya kupitia njia ya Msalaba vyema. Hapa utaona watu kama Paulo, ( ambae alikuwa muuwaji n.k)
Kiufupi, ni mapenzi ya Mungu kupitia Yesu Kristo na Upendo wake ndio vinaweza kumfanya MTU kuwa Nabii.
Cheo kikubwa kuliko vyote ni Ukristo, then Utume, Unabii, na vingine vinafuatia.
Cheo cha kuwa Kristo , Mfalme au Bwana (Lord) ni kikubwa sana. Hapa unakuwa sawa na Mungu; I mean, Nguvu na Mamlaka zote katika ufalme wa Mungu vinakuwa vyako..., Unakuwa Mungu Mwana.
Ndugu, ni hivi...,Na hio authority anaipata wapi wakati Yesu hayupo?
Na vipi umuite Yesu Bwana wa mabwana wakati yeye mwenyewe ALIOMBA KWA BWANA MKUU kuliko yeye? Huku akilia na Kuwa mnyonge?
Msikilize Hapa Anasema nini.
MATHAYO 26.36-39
36 Kisha Yesu akaenda pamoja nao mpaka bustani iitwayo Gethsemane, akawaambia wanafunzi wake, Ketini hapa, hata niende kule nikaombe.
37 Akamchukua Petro na wale wana wawili wa Zebedayo, akaanza kuhuzunika na kusononeka.
38 Ndipo akawaambia, Roho yangu ina huzuni nyingi kiasi cha kufa; kaeni hapa, mkeshe pamoja nami.
39 Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.
SASA nakuuliza wewe. Je! bwana Wa MABWANA huanguka kifulifuli kwa huzuni kuu ya kufa Akiomba AEPUSHWE NA MATESO na KIFO ?
Mnampa Sifa Ya MUNGU kiumbe km wewe. Huu ni Ukafiri ndugu yangu upande wa Adam.
Yesu HAKUWAHI KUJIITA BWANA WA MABWANA wala Hakuwahi KIJIITA MUNGU wala HAKUWAHI KUABUDIWA wakati wa UHAI WAKE.
Ni Baada ya yeye kuondoka ndio Hizi ibada za KUABUDU MTU badala ya MUNGU Zikaanza.
Hii ni SHIRK ambayo adhabu yake ni MOTO WA JAHANNAMU TU.
Na mwisho YESU anatamka wazi ktk YOHANA 14 kuwa BWANA ni mkuu kuliko mimi.
Ogopa MUNGU ewe mkristo. Acha kabisa Kumkufuru kwa kumuita Yesu Kuwa ni BWANA WA MABWANA hali unajua fika kuwa YESU ALITUMWA TU na Mungu km walivyotumwa MITUME WALIOPITA KABLA YAKE.
Mitume km IBRAHIM, MOSES NA SOLOMON.
Tufupishe maneno hapa.Ndugu, ni hivi...,
Zipo njia kuu mbili za Msalaba
1. Kuitwa, Kukombolewa, kuokolewa, kuchaguliwa na kuwa Mwana wa Mungu kamili ( njia hii ni ya mafunzo - lazima ufunzwe neno la Mungu/Maisha ya Mungu na Culture yote ya Ufalme wa Mungu- Kuwa na Image ya Mungu) Baada ya hapo, unatumwa kuwakomboa watu wengine.
2. Hii ni njia ya kufanya Kazi za Mungu na kuzikamilisha + Kuitimiza Sheria Takatifu + Kufanya mapenzi ya Mungu ( Hapa unapewa a noble task - ambayo ni ngumu na inatua zake). Ndio maana unaona Yesu Kristo alianza kazi akiwa na miaka 30, Musa akiwa na miaka 80 tena akiwa na Aron (81).
Unavyoona Jeshini , katika ufalme wa Mungu ni zaidi. Ukifuzu...., vyema unakuwa Kristo ; Wengi wanakomea hatua ya pili, kuwa Apostles, Prophets n.k ( I mean, wanabaki kuwa waandalizi wa njia tu kwa watu wengine.
Yesu Kristo ni Bwana wa Mabwana kwasababu alipigana mpaka mwisho mpaka akafia msalabani kwasababu Yetu.
Yesu ni Mfalme na ni Mwanamme wa wanamme kwasababu hakuna aliyewahi kufikia cheo hicho kwa njia kama zake isipokuwa yeye peke yake. Anayefuatia ni Yohana Mbatizaji.
Kumbuka njia ya Msalaba ina vitu vikuu vitatu..., 1. Righteousness 2. Peace. 3 Joy.
Abraham, yeye alikua King of Righteousness & Peace tu, kwenye Joy hakuwa na Alama "A". Yesu Kristo yeye alikua na AAA.
Hivyo basi, ili uweze kuielewa Biblia, ni lazima upitie nyendo zake, maneno yake na kuyaishi... ndipo unaweza kuifikia hatua yake. Tena kasisitiza na kuweka wazi kwamba, yeyote atakaye muamini na kufanya matendo yake, anaweza kufanya zaidi hata ya alichokifanya.
Ulichoandika hapo, ni Upotoshaji, kweli haimo ndani yako. Unatafsiri maandiko kwa akili yako bila kuelewa undani wake.
Asante
Mungu ana nafsi tatu; Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.Tufupishe maneno hapa.
Kati ya Yesu na MUNGU aliekuwa akimuita BABA nani MKUU?
Sio kweli kwamba ni rahisi kuzielewa Alama za Nyakati na Majira. Wanaozielewa ni wachache sana.Tatizo la binadamu ni kwamba wanakubali kuwa wajinga hata wakiona alama za nyakati ziko wazi. Utakuta waumini wao wabishi wa kutokubali ukweli na hawana chochote zaidi ya kufanywa vitega uchumi wa hawa manabii feki. Kweli wajinga waliwao.
Naona umeandika vitu usivyovielewa undani wake. Mpangilio wake, lugha yake.. yaonyesha wazi kuwa unachukulia maandiko ya Mungu kama masomo yale ya kufundishwa shuleni.nisahihi lakini madhehebu/dini hazitupeleki mbinguni,uEAGT,TAG,ROMA,LUTHERAN NK...chamuhimu ni je unamahusiano gani na MUNGU???????
unafata sheria zake na UMEMKIRI KWAKINYWA BINAFSI KUWA unaamini kuwa YESU ni mwana wa MUNGU na alikufa na siku ya3 akafufuka na akapaa yupo mbinguni?na Kutubu dhambi pamoja na misingi yote tulioachiwa na Y ESU tunaifata,..kujazwa roho mtakatifu,ubatizo wa maji mengi kama wa YESU na aliyotuagiza YESU tunayafanya effective,...hili la madhehebu linakuja baadae,.....maana vitu viko wazi ukiwa njia sahihi ya YESU lazma uwe karibu nae.baadhi ya madhehebu mihuwa naona wanaishi kwa kukariri dini na sikufata misingi ya YESU exactly,.na baadhi ya madhehebu yetu yanaENENDA kinyume na sheria za MUNGU bila wao walopokea mapokeo kuelewa,..maana tukiambiwa tusiabudu sanamu then watu bado wanaabudu sanamu,.hii ni shida,.ila mapokeo ya watu ndo yanawapotosha,.....njia sahihi ya MUNGU ni kufata na kuenenda ktk sheria zake kama tulivyoamriwa ndo best option,zaidi ni kujidanganya tu,,..
We uliezaliwa mara mbili mbona swali unashindwa kulijibu?Mungu ana nafsi tatu; Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.
Mambo mengine yapo sealed, siwezi kuyaandika. #Glory #Honor #Authority , just meditate hivyo vitu ... Huenda vinaweza kukata kiu yako ya kutaka kuelewa "Kwanini Yesu ni Mungu, Kwanini aabudiwe na kutukuzwa "
Ni vigumu sana kuyaelewa Haya kama haujazaliwa mara ya pili.
Kila kitu kina muda wake. Kama kweli umedhamiria kuutafuta USO wa Mungu kwa Utiifu , Unyenyekevu na kwa Upendo katika Kristo Yesu, hakika yeye ni Mkuu , atakuonyesha njia zake.Nisahihi mawazo mazuri,......ila kuingia katika utakatifu unasema uende ktk njia ya msalaba,...YESU alikufa msalabani ili kutukomboa,.ukisema kuwa kukombolewa dhambi kwanjia ya msalaba ni kwamba YESU hakufanya/hakutukomboa msalabani,.....sio sahihi YESU alishakufa msalabani kwa ajili ya dhambi zet,...unavyosema hivyo nisawa nakwamba kuvaa msalaba kuamini kuwa Yesu yupo msalabani na unavyouomba huo msalaba ambao umechongwa na watu ni sawa na ibada ya sanamu,......kusoma biblia ni sahihi lazima uwe na mafunuo ili uweze kuielewa,
kusoma biblia ili mtu ajionyeshe ni sawa na bure
kusoma bible ili kupinga watu ni sawa na bure,.mtu hawez kuelewa iko hivyo
kusoma biblia kama stori=nothing
tukumbuke ya kwamba biblia tunasoma as a guidance,.tu7nasoma tuenende katika njia MUNGU anazozitaka,tujue ya kuishi ktika njia za MUNGU kwa kupitia mafunuo ambayo MUNGU atatupa
kusoma biblia kinyume na matakwa ya MUNGU=Nothing
ila biblia lazima isomwe na wateule na ijae ktk nafsi,mwili na roho ili iwe ni nguzo ya maisha yao kwa kila jambo,.
kwenye red hapo,...mazingira gani hayo labda?
kama biblia MUNGU ananifunulia mwanadamu ni nani hata apinge?