Ndugu, hakuna jaribu kubwa katika njia ya msalaba kama lile la kushindana na mwanamke. Hapa watumishi wengi sana huwa wanarudi nyuma na kushindwa kuifikia nchi ya Roho na Ukweli.Forbes inamtambua kwa biashara zake na hakuna sehemu imegusia kanisa, mwambie Bwege huyo
Ndugu, Hapa tatizo ni Uelewa. Wakristo wapo wachache na Kiongozi wao ni Yesu Kristo. Andiko "Christ" au "Kristo" ni Cheo , maana yake ni " The Annointed One" au the Son of God.Wewe ndio zwazwa kweli, KRISTO ni mmoja tu. Kina yesu wako kibao huko Latin America.
Hawawezi kukujibu vyema; kwasababu wanaishi kwa hisia. Kwa nje wanaonekana vizuri lakini kwa ndani Mioyo yao imejaa maji machafu; Ukiwakoroga kidogo hawachelewi kukuita "bwege" au kukutukana. Hayo ndio mafundisho wanayojengewa au maji wanayojazwa ndani ya Mioyo yao na hao MANABII fekijibu swali kikamilifu mkuu.Anafanya biashara gani?
Ndugu, unaweza kutoa mstari wowote kwenye Biblia ambao unaonyesha MTU mwenye cheo cha Nabii, Kuhani au Mtume ni Mfanyabiashara?Yeah ni mfanyabiashara mkubwa UK.anafanya biashara za real estate.na anatumia pesa zake kwa ajili ya kuhubiri injili matangazo yote anayorusha kupitia satelaite analipia mwenye kwa pesa binafsi
unamaanisha nini,neno la MUNGU likoje na andiko likoje,.biblia ni andiko au neno,.usichanganye watu kwa akili zako binafsi,."vCTRMA, post: 15809518, member: 348463"]hivi watu wanajua maana ya nabii ni nini??????????
tatizo watu hawasomi neno la MUNGU,."
JIBU
Ndugu, Kuna tofauti kubwa sana kati ya Neno la Mungu na Andiko La Mungu.
Tunasoma Maandiko ya Mungu , sio Maneno ya Mungu. Maneno ya Mungu hayasomwi bali yanapatikana kwa njia ya kutafakari ( kwa njia ya Roho Mtakatifu, katika Kristo Yesu)
Kumbuka, andiko linauwa, bali neno linajenga ( linatupa uzima)
Huwezi kupata neno la Mungu kutoka kwenye maandishi ya Mungu kama wewe sio mfuasi wake ( I mean, kama haujaitwa kujumuika katika njia ya msalaba through Repentance)
Tatizo hapa ni kwamba, watu wanasoma andiko la Mungu lakini hawalielewi kwasababu hawajaitwa na kufanywa kuwa wafuasi au kutokana na kuishi katika hali ya dhambi.
Kumbuka pia, Uelewa ni zawadi kutoka kwa Mungu kupitia Yesu Kristo.
we ni mroma alafu vCTRMA kaokoka.....hamuwezi kuelewana apo,wewe umemezeshwa na kukalilishwa mapokeo waliookoka ni tofauti ni nyie,.naomba nikuulize swali,.unajua roho mtakatifu ni nini maana yake?"vCTRMA, post: 15809518, member: 348463"]hivi watu wanajua maana ya nabii ni nini??????????
tatizo watu hawasomi neno la MUNGU,."
JIBU
Ndugu, Kuna tofauti kubwa sana kati ya Neno la Mungu na Andiko La Mungu.
Tunasoma Maandiko ya Mungu , sio Maneno ya Mungu. Maneno ya Mungu hayasomwi bali yanapatikana kwa njia ya kutafakari ( kwa njia ya Roho Mtakatifu, katika Kristo Yesu)
Kumbuka, andiko linauwa, bali neno linajenga ( linatupa uzima)
Huwezi kupata neno la Mungu kutoka kwenye maandishi ya Mungu kama wewe sio mfuasi wake ( I mean, kama haujaitwa kujumuika katika njia ya msalaba through Repentance)
Tatizo hapa ni kwamba, watu wanasoma andiko la Mungu lakini hawalielewi kwasababu hawajaitwa na kufanywa kuwa wafuasi au kutokana na kuishi katika hali ya dhambi.
Kumbuka pia, Uelewa ni zawadi kutoka kwa Mungu kupitia Yesu Kristo.
tatizo la wakristo siku hizi ni kufata miujiza kila kukicha,.na kutabiliwa,watu wanahangaika yani,neno la kristo halijaakaa ndani ya Watu kabisa,.watu hawasomi maandiko kabisa na ndomaana wanachanganywa hovyohovyo,.watu hawatulii makanisani,hii ni shida sanatunakuja pale pale tatizo watu hawasomi neno la MUNGU
sahihi,uko sahihiNdugu, unaweza kutoa mstari wowote kwenye Biblia ambao unaonyesha MTU mwenye cheo cha Nabii, Kuhani au Mtume ni Mfanyabiashara?
Na kama haujauona, Unaelewa kwanini vyeo hivyo ni marufuku MTU wa Mungu kuwa mfanyabiashara?
Je unafahamu Purpose na Mission za Nabii au Mtume anapotumwa Ulimwenguni na Mungu?
Amini nakwambia kweli, hao MANABII unaowasifia missions zao kubwa ni kuiba Utukufu wenu, destiny, kuharibu na kuua ili muende motoni.
Ndugu, Biblia ni kitabu kikubwa kuliko vyote hapa ulimwenguni. Ni kitabu kilichojaa maandishi ya Mungu , ambamo ndani yake kuna maneno ya Mungu.BIBLIA ni nini kwa post yako,naona unajichanganya ndugu...,...
2.maana yako njia ya msalaba ndo inaondoa dhambi??????????
Ndugu, neno la Mungu Huwezi kulisoma. Neno la Mungu sio Hisia bali Ni roho na kweli, ; Neno la Mungu ni pumzi;tunakuja pale pale tatizo watu hawasomi neno la MUNGU
we ni mroma?????Ndugu, Biblia ni kitabu kikubwa kuliko vyote hapa ulimwenguni. Ni kitabu kilichojaa maandishi ya Mungu , ambamo ndani yake kuna maneno ya Mungu.
Ni kitabu kichoandikwa na Roho wa Mungu kupita Kristo Yesu ( Who was, Who is and Who is to come)
Kitabu hiki ni vigumu sana kukielewa kama haujaalikwa kwenye njia ya msalaba through Repentance.
Kumbuka, Mungu / Yesu hutuelewa sisi kwa kila kitu ; anaelewa MTU aliyetayari kujumuika nae katika njia hiyo; Hakuna MTU anayeweza kujificha mbele zake.
Anawaelewa wale wote wanaotaka kujumuika kwa muda na kutoka; Hakika sisi tu uchi mbele ya kiti chake.
Sasa basi, wale ambao sio wake, ni vigumu kuisikia sauti yake na kuona matendo yake ( I mean, kilichoandikwa kwenye Biblia na kinachoendelea katika Maisha yako+ Mazingira yako)
Kumbuka, Uelewa ni zawadi kutoka kwa Mungu. Uelewa huu ni tofauti na huo unaotumia shuleni kujibia mitihani na kusomea.
Swali la pili;
Ni njia ya msalaba pekee ndio inayoweza kukuondolea dhambi, hakuna njia nyingine kaka. Yesu ndiye njia, kweli na uzima.
Lazima utubu kwanza ( kama utapata nafasi ya kuitwa) , ndipo uingie msalabani, kukombolewa, kuokolewa, kuchaguliwa/ kuteuliwa na kisha unatumwa...
Hii ni process sio ya siku moja, bali ni ya siku tatu.
NB; Faith is not a pressing button
Ndugu, na kuelewa vyema sana, tena sana Ndugu yangu.nahisi hukuelewa dhima yangu
ni kuwawweka watu aware wawe wanazingatia neno la Mungu,......maana kuhumu tumezuiwa kwa namna yoyote ile,...
tusije tukahukumiwa sisi,...
matunda ya Yaliyo ktk misingi ya MUNGU ni dhahili na ya ibilisi ni dhahili thats why YESU akasema mtawatambua kwa matunda yao,...tukiwa ndani ya YESU pekee ndo tunaweza kuwatambua wenye matunda YA MUNGU na ya ibilisi......
kwenye red hapo,....kuutambua huo mti ni lazima uwe kwenye njia ya wokovu uwe na ukaribu na Mungu,...roho mtakatifu ndiye kiongozi kwa kila jambo unaposema mtu akijibanza sijui ningumu kumtambua unamaanisha kuwa roho mtakatifu unapinga uwepo wake.......
katika blue unazunguzia kuchaguliwa kivipi????????
minajua hadi unaokoka unakuwa tayari umepata neema,..maana paul anasema ktk waefeso tumeokolewa kwa neema
yaani tumechaguliwa tumeokoka kwa neema na sikwa akili zetu.........
Ndugu, Ufalme wa Mungu unajengwa kupitia Yesu Kristo.we ni mroma?????
Maswali yako, yanamaanisha ulikuwa huelewi nilichoandika awali; na kwamba ulikuwa unabisha na kutumia ujuaji pasipo kuelewa nini unaandika.sahihi,uko sahihi
ila mtume ni nani??unajua kaz za mtume
unajua nabii ni nani???na kaz zake effectively????
according to bible sio mapokeo
Huelewi unachoandika. Kiufupi dini yangu ni kumsujudia na kumuabudu Mungu peke yake kupitia Yesu Kristo. Roho Mtakatifu ni Msaidizi wangu , MWALIMU na Ananiongoza mpaka kujibu maswali yenu.we ni mroma alafu vCTRMA kaokoka.....hamuwezi kuelewana apo,wewe umemezeshwa na kukalilishwa mapokeo waliookoka ni tofauti ni nyie,.naomba nikuulize swali,.unajua roho mtakatifu ni nini maana yake?
Nani kampa unabii ?kabanga;
Huyu ni nabii wa neno la Mungu na makao yake makuu ni Zimbabwe. Ila, ana ofisi nyingi pia hukooo majuuu. Wengi wamemkubali