Man United vs Liverpool... March 21, 2010


Rooney celebrates drawing United level
Related links

Teams


Also see



Wayne Rooney and Park Ji-Sung fired Manchester United back to the top of the Premier League as they came from behind to beat Liverpool at Old Trafford.
The irrepressible England international fired home his 33rd goal of the season in the 12th minute to restore parity with midfielder Park diving bravely to head in the winner on the hour mark.
A blistering start to the eagerly-anticipated encounter saw Fernando Torres climb unmarked eight yards out to power a header beyond Edwin van der Sar following Dirk Kuyt's excellent cross from the right with just five minutes gone.
But United were soon level with Javier Mascherano penalised by Howard Webb for bringing down Antonio Valencia as he looked to burst into the box, with a spot-kick awarded by the referee even though the offence began outside the area.
Jose Reina made a superb save to initially deny Rooney from 12 yards, but the ball fell kindly to the in-form striker who made no mistake with his second chance as he rolled into the empty net in the 12th minute.
The pace dropped somewhat after the frantic opening, with the key moment arriving in the 60th minute as Darren Fletcher delivered a telling ball into the box from wide on the right for South Korea international Park to head home at the far post amid the flying boots.
Sir Alex Ferguson's side restored their two-point advantage over Arsenal at the top of the table, while a 10th defeat of the season for Liverpool leaves them four points adrift of Tottenham in fourth, having also played a game more.
 
Mbu,Wacha,Bak na wengine endeleeni kumuomba Mungu labda atawasikiliza game ijayo na Bolton
 
Harold Webb huyo!
...aibu aibu aibu, halafu kama alikagua uwanja mbona hata Penalty spot hakuiona? uwanja hauna hata chaki sehemu ya kupigia penati...

nahisi wewe ndio ulikuwa huangalii mpira,FYI torres ndio alifuta ile alama kwenye penalty spot,na matokeo yake kishimo alichoacha ndio kimemkosesha goli dk za mwisho.
 
hongereni man utd
i wish ningewawekea hapa kideo ila nilipewa warning na youtube hahahaha!
 
Mbu,Wacha,Bak na wengine endeleeni kumuomba Mungu labda atawasikiliza game ijayo na Bolton

Kumbe hata hufahamu Bolton boss ni swaiba wenu? Mshabiki wa wapi wewe? Au umeanza hizi habari jana?
 
Kumbe hata hufahamu Bolton boss ni swaiba wenu? Mshabiki wa wapi wewe? Au umeanza hizi habari jana?
Usikate tamaa leo ulikuwa unaomba tufungwe lakini Mungu hajakusikiliza so usikate tamaa iko siku atakusikiliza inawezekana wiki ijayo tukafungwa
 
BBC Radio 5 live summariser Chris Waddle: "I think Rafa Benitez needs to be a bit more ambitious in his team selection if he wants to get hold of that fourth spot."

BBC Sport chief football writer Phil McNulty at Old Trafford:
"The reaction of Manchester United's fans and players at the final whistle is a graphic illustration of just how important this victory is against a Liverpool side who would have loved nothing better than to dent their title chances while improving their own chances of finishing fourth. United deserved the win as they were the vastly superior side in the second half. Liverpool faded and they simply could not get Fernando Torres in the game after the opening stages. Steven Gerrard, in particular, was totally anonymous for Liverpool."

Anonymous via text: "Was it just me or did Liverpool look like a team who no longer want to play for their manager?"

Ninadhani badala ya kulalamika kwamba Manure wanabebwa kuna haja kuangalia vipengele vingine kwa upande wa Liverpool. Je, walikuwa wanacheza kwa nguvu na kubaniwa, mfano wanakwatuliwa na kunyimwa penalty, ama kubinywa kwamba wako offside? Yello cards siyo kipimo cha kubebwa. Timu nzima inaweza kulamba yellow cards na bado wakashinda. How many times tumeona timu inacheza na wachezaji 10 na bado wakashinda na tena wanapiga bao baada ya mmoja kutolewa.

Ninadhani summries za comments zile pale juu zina umuhimu wa kuangaliwa kwa macho yote na kwa makini. Ama Rafa amechoka kuwa Manager wa Liverpool, au Wachezaji wamekata tamaa na hawataki kuwa chini ya Rafa. Moja kati ya hayo mawili yanaweza kuwa na ukweli.
 
Urudi hapa sio mnakimbia baada ya kula kichapo. Not again, not Man U and not in OT.
Seeing is believing, utaniambia mimi.
De Novo, nilikuonya nikakuambia kuwa usikimbie urudi kwenye jukwaa hapa uelezee imekuwaje. Nilisema not today, not again, not Liverpool and not in OT. Jipangeni upya mwakani,
 
Ninadhani badala ya kulalamika kwamba Manure wanabebwa kuna haja kuangalia vipengele vingine kwa upande wa Liverpool. Je, walikuwa wanacheza kwa nguvu na kubaniwa, mfano wanakwatuliwa na kunyimwa penalty, ama kubinywa kwamba wako offside? Yello cards siyo kipimo cha kubebwa. Timu nzima inaweza kulamba yellow cards na bado wakashinda. How many times tumeona timu inacheza na wachezaji 10 na bado wakashinda na tena wanapiga bao baada ya mmoja kutolewa.

Ninadhani summries za comments zile pale juu zina umuhimu wa kuangaliwa kwa macho yote na kwa makini. Ama Rafa amechoka kuwa Manager wa Liverpool, au Wachezaji wamekata tamaa na hawataki kuwa chini ya Rafa. Moja kati ya hayo mawili yanaweza kuwa na ukweli.

its very difficulty for one-eyed supporter to see these facts
 
stats
man utd- liverpool
goals 2- 1
shots on tgt 5- 2
corners 1- 2
fouls 11- 17
yell cards 2- 3
pass success 80.5%- 74.4%
possession 54.4- 44.6
 
stats
man utd- liverpool
goals 2- 1
shots on tgt 5- 2
corners 1- 2
fouls 11- 17
yell cards 2- 3

pass success 80.5%- 74.4%
possession 54.4- 44.6

Kuna mahali nimeona mtu kasema wachezaji wa Manure hawakuonyooshewa hata kidole. Lakini kwenye hizo takwimu ninaona kuna yellow cards 2 za Manure na 3 za Liverpool. Ndiyo maana wakati mwingine inakuwa ngumu ku-judge kwa kuwa wachangiaji wengi hutanguliza ushabiki.

Lakini huo ndiyo utamu wa Ligi maana mashabiki wa Chelsea, Arsenal na Manure wote BP ziko juu kwa kuwa timu ikiteleza tu basi matumaini ya kutwaa Ubingwa yanapotea.

Kila la heri kwa timu itakayotwaa Ubingwa.
 
Duhh wallahi ManU mnatisha!!........si mchezo kwa kweli.......Manda, Belo na wapenzi wote wa ManU once again hongereni
 
Ngoja tuwaangalie Chelsick sasa.



blackburn_1009593a.jpg

Khe khe khe vipi nyie jamaa mbona mna viroja sana?
Mnagombea fourth place sasa - Avram Grant anawasubiri ....
 
Yesterdays game really summed up liverpool season, there was no drive wala desire from the top guns, with exception of Mascherano... i saw Gerrard as a tourist visiting tarangire spotting a few elephants on the way, he had no drive whatsoever

Rafa resigned to the bench like he knew exactly what was happening... and Yossi protested on the ground

we wont be for the CL next year but i think it is important for the team transition. BUt i am also not happy how Manure get away with lots of favours

on a separate note, to mbebamabox... i like "one eyed supporter"... he is very supportive since i was born!!:D
 
Back
Top Bottom