Man United vs Liverpool... March 21, 2010

baada kumleta benayoun kaenda kumleta yule aquilaini laini sijui wanini au sijui kuwasaidia man united kupoteza mda.
 
i am now counting the minutes as i dont see any gerro magic on the plate... probably its one of those seasons
 
haya sasa dakika saba hizo za babel na benayoun hata draw powa tu.

Kwa jinsi wanavyocheza hawa bwawa la maini sidhani kama kutakuwa na draw naona kama wameshakubali kwamba watatoka mikono mitupu leo. Ngoja tusubiri.
 
Hata wewe unafanya kazi uliyotumwa

Hapana mimi najituma khe khe khe kheeeeeeee. Usichanganye mambo bana.

Kuna watu wanaongea sana ,nilikuwa GUEST nikaona nije kuwakilisha

Unakuja sasa kono mbele kwa sababu mmebebwa kwa hali ya juu au siyo? Shukuruni lakini mwaka huu bado kazi mnayo mtabebwa hivi sijui hadi lini.
 
so sorry for liver - i dont think they can make it to 4th place in the last 7 games or so
 
Hapana mimi najituma khe khe khe kheeeeeeee. Usichanganye mambo bana.

Unakuja sasa kono mbele kwa sababu mmebebwa kwa hali ya juu au siyo? Shukuruni lakini mwaka huu bado kazi mnayo mtabebwa hivi sijui hadi lini.

are u serious??!!!
 
huyu rafa wamfukuze tu sasa.unashindwa kufanya mabadiriko mapema kuleta ushindi.

kama liverpool bado hawajamchoka basi naona yeye ndio kaichoka liverpool.
 
Back
Top Bottom