Man United vs Liverpool... March 21, 2010

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
24,846
11,210
Wakuu naona kimyaaaaaaaaaaa...... Nervous huh??

wacha tupate raha nyingine tuliyoimiss kwa muda mrefu sana
 
Leo ndio ile siku ambayo Manure wanasema kwaheri kwa ubingwa wa mwaka huu...
 
Wapenzi wa Man -uuuuu mmeshanunua panadol? ngoma ndiyo hiyo inanukia - Torres ndo huyoo ana troti. yangu macho mie shatolewa UEFA nauguza madonda na Blackburn
 


Title race in a balance, haya haya naona Chelsick mafioso wamejaa kaa pishi la udaga na Loserfools as usual wapo tele hebu tuone nani mbabe hapa. Mpira huu utakuwa wa utemi zaidi kuliko soka hebu tuone ... .... ..... Michael Owen majeruhi yupo kwenye commentary team ya Sky ... ....
 
Torres 1 nil khe khe Naona Manure wanakazi leo mambo si mambo ....

Manure 0 - 1 Liverpool
 
Tooorrrrrrrrrrrrrrreeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeesssssssssssssssssssssssssss
 
Goli limeingia dakika ya 5. Manure washabiki wao wanawazomea sana Liverpool. Naona Rooney tayari tafrani na refa baada ya kukwanguliwa .. ... Belo upo mkuu? ..
 
Rooney to take . ... Saved but Rooney take the chance again 1 - 1, we've got the match guys ...
 
Back
Top Bottom