Man United vs Liverpool... March 21, 2010

Kuna mahali nimeona mtu kasema wachezaji wa Manure hawakuonyooshewa hata kidole. Lakini kwenye hizo takwimu ninaona kuna yellow cards 2 za Manure na 3 za Liverpool. Ndiyo maana wakati mwingine inakuwa ngumu ku-judge kwa kuwa wachangiaji wengi hutanguliza ushabiki.

Lakini huo ndiyo utamu wa Ligi maana mashabiki wa Chelsea, Arsenal na Manure wote BP ziko juu kwa kuwa timu ikiteleza tu basi matumaini ya kutwaa Ubingwa yanapotea.

Kila la heri kwa timu itakayotwaa Ubingwa.

...naam,
mimi ndiye niliyesema hilo mkuu.
Niliyaandika hayo wakati tunafanya analysis ya '1st' 45 minutes.
Hizo Card mbili za njano ni 'stats' baada ya 90 mins.
 
Yesterdays game really summed up liverpool season, there was no drive wala desire from the top guns, with exception of Mascherano... i saw Gerrard as a tourist visiting tarangire spotting a few elephants on the way, he had no drive whatsoever

Rafa resigned to the bench like he knew exactly what was happening... and Yossi protested on the ground

we wont be for the CL next year but i think it is important for the team transition. BUt i am also not happy how Manure get away with lots of favours

on a separate note, to mbebamabox... i like "one eyed supporter"... he is very supportive since i was born!!:D

RED+BLUE-facts
BOLD BLACK-If u see facts as those in blue ur NOT ONE-EYED SUPPORTER
 
15023_1407418347917_1306177853_1156506_5516102_n.jpg

Kutoka kwa Michuzi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom