idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,312
hureeeeeee
Mkuu kumbe wewe ni mmoja wao.!? Lakini tutawakuta tu.
hureeeeeee
aliye tangulia katangulia!angalia Tottenhamu nao wanakuja!!Mkuu kumbe wewe ni mmoja wao.!? Lakini tutawakuta tu.
Japokuwa mimi ni Arsenal damu lakini nachukua nafasi hii kuwapongeza Man U. Hakika wanastahili pongezi.
Pamoja kuwa mpira ni bahati na wakati mwingine huwa tunadai kuwa Man U wanabebwa na referees lakini tu
kubali tukatae Man U ni timu inayojituma sana wawapo uwanjani! Yaani wanacheza kwa jihadi tofauti na timu
yangu Arsenal. Ya kaisali tumpe kaisali kusema kweli Man U ni timu mzuri. Ila timu yangu ya Arsenal ni Mavi matupu.
Kuna watu watakuwa wameshakufa hapa. Wapi Mzee wa Rula[/QUOTE
aiseeee babaangu nzi mzee wa rura sijui kajichimbia wapi habari zimfikie popote halipo
Aiseee baba aanguuuuu yaani nimechukiaje????? Achaaa tuuuu.
wewe balantanda ya arsenal yamekushinda unaanza kufuatilia ya man utd sio?